Tatizo kwenye simu yangu Ya IPhone

Tatizo kwenye simu yangu Ya IPhone

babayao255

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Posts
12,904
Reaction score
34,903
Wakuu niaje, nina simu yangu ya IPhone nikipiga ussd code mfano *102# inapiga moja kwa moja simu kama unampigia mtu badala ya kuleta menu,
Yaani hiyo *102# inakua ni kama vile nmepiga simu Wakati ni salio Naangalia au kuunga vifurushi hivyo huwa inanibidi kutumia simu nyingine kuiingui hiyo simu vifurushi
 
nenda kwenye duka la mtandao unaotumia wakurekebishie, nilikua na tatizo kama hilo nikaenda Tigo wakanisetia now ipo njema kabisa
 
Back
Top Bottom