Tatizo kwenye simu ya Nokia 6.1 Android

Kayjo

Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
6
Reaction score
2
Mambo vipi wakuu?

Natumia simu ya Nokia 6.1 Android, nimenunua mwaka jana mwezi July. Kwanza Imeanza tatizo kwenye speaker, nikicheza video au audio kwa sauti kubwa inakwama kwama mpaka nipunguze sauti ndo naskia vizuri. Sasa limeibuka tatizo lingine charge inaingia slow sana na wakati mwingine inazima nikiwasha data au nikitaka kupiga picha. Nimetafuta service center zao hapa bongo sijapata.

Naomba wataalamu mnipe ufafanuzi hapo na ufumbuzi wa hili tatizo plz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Download app inaitwa ampere playstore, then chaji simu halafu angalia amps ni ngapi zinaingia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…