bado sijaweza solve tatizo mkuu...hii Odin yenyewe bado cjajua jinsi ya kutumiaWakati unasubiri wataalamu hebu pitia pitia hizo link hapo chini unaweza kupata kitu...........
https://www.google.co.tz/search?q=S...a:en-US:official&channel=rcs&biw=1280&bih=697
kurenstall firmware ni process kubwa??
poa ntajaribu mkuusi process kubwa ila utahitaji hio odin, usb cable na pc kureinstall.
kabla ya yote hakikisha simu yako ni note 2 kweli kama una boksi au unakumbuka. inatakiwa iwe ni SAMSUNG GALAXY NOTE 2 N7100. kama simu sio basi inaweza haribika kabisa. toa hata betri angalia nyuma iwe ndio n7100.
kuflash firmware manually utafata step hizi.
1. download firmware ya note 2 hapa chini halafu extract mahali utapokumbuka kwenye pc yako.
Rom 4.3 India
2.download odin nayo pia extract mahali utapokumbuka
https://copy.com/zowadQ32bn9T
3. hakikisha kuna driver za simu kwenye pc yako. kama ulishawah kutumia hio simu na pc kama kuhamisha mafile ujue basi zipo.
4. washa simu yako kwenye download mode. kufanya hivyo bonyeza (button ya kupunguza sauti na home button na button ya kuzimia kwa pamoja) halafu bonyeza button ya kuongeza sauti utaona simu ipo kwenye download mode.
5. connect simu na pc
6. fungua odin kama administrator kwa juu utaoma rangi ya njano na neno com na kwa chini kushoto utaona neno added limetokea incase havijatokea achana na step za mbele umeshakosea. ukiona vimetokea ujue upo sahihi.
7. click pda kwenye odin halafu chagua ile firware ulioextract kwenye step ya kwanza itakua inaishiwa na tar.md5
8. hakikisha reset time na auto reboot vimekua ticked (ukiopen software vinakua tayari vina tick hivyo usiguse kitu hakikisha tu)
9. click start utaona simu inareceive hio firmware.
10. itajizima simu na kujiwasha odin itaandika pass na simu itawaka.
hio rom ni zaidi ya 1gb inabidi uwe na internet ya maana kama wajanja night ya voda
si process kubwa ila utahitaji hio odin, usb cable na pc kureinstall.