Jamani ni wiki ya pili sasa kila nikiweka bandle la internet linapotea kwa haraka sana ndani ya 10minutes huwa namaliza bundle la 50mb. wakati mwingine pc yangu inakuwa slow at the maximum na inaonyesha iko busy kama inadownload kitu lakini hakuna kitu nilicho set automatic au magnetic download ila antvirus huwa ananiletea message inayosema malware detected....tatizo nini na solution yake nini wakuu;;;;.