Natumia Acer min computer, window 7 Nime install Kaspersky ant virus kwa licence ya mwaka mzima na iko updated kabisa, tatizo nahisi computer ina virus japo nimekua nikifanya window update na fully scan kila mara, Nikitaka kufungua page mathalani yahoo au facebook, ina search na kufungua page lkn mwisho inaandika 'redirected'.
Hili litakua ni tatizo la virus au ni network kawaida? Pia baadhi ya web page hazifunguki, mfano nikitaka ku download movie, inaniambia "Your computer security is not protected". Msaada wenu wakuu,ninapata tabu.