Tatizo kuhusu Laptop yangu

engelbertnobert

Senior Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
131
Reaction score
42
Kila nnacho click inauliza do u want to uninstall this and send to the Recycle bin?
Naomba msaada kwa mwenye ufaham zaidi.
Nimeformat zaidi ya mara mbili imekataaa kabisa na nimeweka internet security tofauti tofauti lakini tatizo lipo pale pale
 
Hebu cheki ile button ya kufutia maneno au ile delete hazijibonyezi? Pengine ina kitu kimeganda ndio maaana muda wote inafuta
 
Mfano unapo click my computer inaulza do u want to send it to the recyclebin?
Dah sijawah experience hii kitu!!!
 
Una2mia windows gan? Ku2mia shortcut keys kufungua my computer den fungua local disk yyte kitakachotokea rudisha feedback. Fanya hyo vyote kutumia shotcuts za kwny keyboard
 
Thx much kwa ushauri ila Jinsi ya kumalza tatzo hakuna namna?
 
Kila nnacho click inauliza do u want to uninstall this and send to the Recycle bin?
Naomba msaada kwa mwenye ufaham zaidi.
Nimeformat zaidi ya mara mbili imekataaa kabsa n nimeweka internet security tofaut tofaut lakn tatzo lipo pale pale
Mkuu computer unayotumia ni model gani?Na je uko wapi?Hapo kuna hardware issue unatakiwa kubadilisha.Nilishakutana nayo hiyo
 
Nipo Dar
We unapatikana wapi?
Nahs itakuwa hardware maana nimeangaika haswa mpk Leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…