check internet connection yako...kama ipo poa zingatia maelezo uliyopewa hapo juu...yote yana matter sana kwenye torrents downloads..Wakuu natumia bit torrent kushush mizigo na nimepakua mizigo ya ka gb6 hv ucku mmoja hv nkaselect mingine mipya xaxa nw nashaa tangia nimeiselect haijidownload afu katika sehemu ile ya network status haiweki ok tena inaweka symbol nyekundu i don knw wht the problem is? Please naombeni msaada wnu natnguliza shukrani!
Tafuta hii kitu tixati ni mbadala mzuri wa bit torrent, unaweza kutumia hata magnetic links
Nakushauri ujenge mazoea ya kusoma comments za watu waliodownload hilo file.Hii inasaidia kuona,je watu wengine wamepata tatizo lolote walipodownload.
Pili,jaribu kudownload files zenye seeders wengi.Kumbuka the more the seeders the faster is downloading speed.
Tatu,torrent cliants zinatofautiana ktk performance,kuna ambazo ni weak/unstable na ambazo ni strong/stable.Jaribu kutumia zile ambazo zinakubali hata magnetic links,maana sometimes unaweza ukakuta torrent imefail,so unatumia magnetic,na mbo yanakwenda fresh.
Xante xana mkuu ngoja niyafanyie kaz hayo ntawapa out comesTumia client za tixati au torrentb (TB) kupakua maana zipo stable kuliko Utorrent na Bittorrent.
Chukua hapa
1.http://www.torrentb.com/members/downloads/TorrentBSetup.exe
2.http://download1.tixati.com/download/tixati-1.93-1.win32-install.exe
AU
3.http://download1.tixati.com/download/tixati-1.93-1.win64-install.exe
kumbuka kuchagua torrent au magnetic link zenye seed wengi ili uweze kupakua faster.
Enjoy
asante mkuu nafanyia kaz ushaur wako nashikuru xana