Tatizo hili kwenye tikiti

Tatizo hili kwenye tikiti

kupigakazi

Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
53
Reaction score
13
1474455301435.jpg
1474455389820.jpg
1474455512968.jpg
View attachment 404284. Naomba ushauri juu ya hili tatizo kwanini zinapasuka na zingine kuoza. Hizi tikiti bado wiki mbili zivunwe na tatizo hili Luna siku kama 3 toka lianze
 
google mguu ila kwa uzoefu wangu uchwara tikit lisimwagiwe maji maji yakimwagiwa hupasuka au kuoza
 
Sababu za kupasuka na kuoza kwa tikiti ni kama zifuatazo
1.kumwagilia kipindi ambacho hazitakiwi kumwagiliwa
2.kuweka mbolea za kukuzia bila mpangilio maalum
 
Mkuu wiki mbili kabla ya kuvunwa linyime maji ili liimarike na litengeneze sukari ndani alafu huwa halitosheki maji ukilimwagilia linakunywa maji moaka linapasuka lenyewe
 
Naomba msaada wa namna ya kulima zao hili la tikiti kuanzia jinsi ya upandaji mpaka uvunaji asanteni
 
Ni aina gani ya mbegu inapandwa, mbolea gani ya kupandia na ipi ya kukuzia, na je heka moja itahitaji mbegu kiasi gani
 
Hapo tatizo ni maji tu... Acha kulimwagia maji kwa muda huo yalipo fika
 
calcium imbalance,tmia grower finisher mbolea ya maji pia hata CAN
 
Na pia kingine ni kuwa na Mchanganyiko wa upandaji unakuta mengine ni madogo yanahitaji maji na mengine hayahitaji hvyo kuepuka kuwa na Mchanganyiko huo ondoa machipukizi yote na usipande kwa muda tofauti eneo moja
 
Mkuu;
Kuna uzi alileta hapa MziziMkavu kuwa kuna mbegu toka China ya hii kitu. Ukila lililopasuka tu tegemea mambo ya ajabu kutokea kwako. Muulize Mzizi
 
Umemwagia maji mengi kwahiyo tikiti limekunywa maji yaliopata joto la juwa,
 
maji mengi au ulinyima maji hlf ukazipa maji mengi sana tena kipindi cha jua,tikiti week moja kabla ya kuvuna usizipe kdg sn kama jua ni kali sanA itakusaidia kupata matikiti yenye sukari nyingi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom