dariri za mimba changa
tatizo umejifunza ku login juzjuz!unajua lakini maana yajukwaa hili ww?peleka fb huu ujin.ga wako humu jf nikwaajili ya GT.
dariri za mimba changa
kapime homa ya matumbo ....
Sasa mi nashangaa unajisikia vibaya hivyo harafu unakimbilia jf kupata dawa za comment.
Ukienda haja kubwa unatua vitu vyeupe!!?.......isije ikawa....anyway..
Nenda hospitali kwa msaada zaidi. Pole sana