a woman who is greatly admired especially for her beauty.[emoji23][emoji23][emoji23] nasikia alikuwa anajiita Mungu.... Sasa navyojua GODDESS ni Mungu wa kike.. Nawewe ndio unajiita ivo
Kwani GODDESS ina maana gani nyingine?
Kumbe wewe musuria woman who is greatly admired especially for her beauty.
Ili kunogesha mchezoUrembo unauweka mapajani ili iweje?
[emoji3][emoji3] swali gumu, ila mimi sikubaliani na hiyo tattoo yake,
si unajua akili ya wasichana aliona akichora hiyo tattoo Kama akikutana na mwanaume atamuona yupo romantic sana yaani ataongezeka mvuto.
Huenda anavaaa shorts akitoka kazini sometimes hatufanyi vitu kwa ajili ya watu kuona
Atafune kwann labda uwe umetongoza ww lkn mchoraji yupo kazini anaangalia pesani kwel,na mchoraji wa hio tattoo si keshatafuna[emoji23][emoji23]
mwanamke mwenye tattoo,alonyoa kiduku akaweka blich,alotoboa ulimi/kitovu hawa nkiwaona tu huwa nawashusha heshima na iman nao kwa 60% hata kabla sijazungumza nao,mmoja alinibadilsha ila wengne wote nliokutana nao ni [emoji90][emoji90][emoji90] kichwani!
Ila mi nawashukuru wanawake wote wenye vitu hivyo ulivyotaja kwani wao wenyewe wameshajitambua kuwa wao ni watu wa aina gani. Kwa maana nyingine wanatusaidia sisi tusiotaka watu wa aina hiyo tusije tukajichanganya tukaangukia kwao. Ongezea na wanaovaa vikuku miguuni.
Aliye mremba alimlaUrembo unauweka mapajani ili iweje?
Demu mwenye tattoo zaidi ya moja au kutoboa ulimi na kitovu huwa nnawafikiria tofauti sana
mnaoingia kwenye mapaja!tattoo kwenye paja?urembo huu auone nani!