pasi padinde
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 281
- 299
Lissu ndio mshindi
Ila nawasiwasi na wapiga kura 29M
Duh!Hiyo idadi ya wapiga kura 29m+ ndio inayosababisha tume ya uchaguzi igome kutoa daftari la wapiga kura mpaka sasa. Na huu utata wa wapi karatasi za kura zinachapishwa hapo ndio ngoma ilipo.
Kamanda kwani tukifahamu wapi karatasi zinachapishwa itasaidia nini? Au watachapa ambazo zinatick kwa mgombea wa Ccm?Hiyo idadi ya wapiga kura 29m+ ndio inayosababisha tume ya uchaguzi igome kutoa daftari la wapiga kura mpaka sasa. Na huu utata wa wapi karatasi za kura zinachapishwa hapo ndio ngoma ilipo.
We need transparent and accountabilityKamanda kwani tukifahamu wapi karatasi zinachapishwa itasaidia nini? Au watachapa ambazo zinatick kwa mgombea wa Ccm?
Kamanda kwani tukifahamu wapi karatasi zinachapishwa itasaidia nini? Au watachapa ambazo zinatick kwa mgombea wa Ccm?
Ahaaa kamanda,lakini mawakala si huwa wanahakiki karatasi kama haina tick?Kama kuna nia njema kwanini iwe kwa kificho? Uwezekano wa kampuni ya humu ndani kutumika kutengeneza karatasi za ziada za zenye nia ovu ni mkubwa. Na iwapo litatokea la kutokea, kampuni ya humu ndani ni rahisi kutishwa ili kuogopa kutoa ushahidi wa hujuma zozote.