Mavipunda JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 7,243 Reaction score 8,097 Jul 8, 2017 #21 Viashiria vya Dereva wa Lori kushindwa..siku hizi kijiwe chake cha kiki ni Bandarini ila hii ya vichwa vya treni imemuumbua
Viashiria vya Dereva wa Lori kushindwa..siku hizi kijiwe chake cha kiki ni Bandarini ila hii ya vichwa vya treni imemuumbua
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,384 Reaction score 99,198 Jul 9, 2017 #22 Jandaruma said: Rais wa WANYONGE kwahiyo tupo katika kipindi cha KUNYONGWA Click to expand... Naomba mniombee. Hapa ndipo tulipofikia. Msema kweli mpenzi wa mungu.
Jandaruma said: Rais wa WANYONGE kwahiyo tupo katika kipindi cha KUNYONGWA Click to expand... Naomba mniombee. Hapa ndipo tulipofikia. Msema kweli mpenzi wa mungu.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,405 Reaction score 289,554 Jul 9, 2017 Thread starter #23 King Kong III said: Naomba mniombee. Hapa ndipo tulipofikia. Msema kweli mpenzi wa mungu. Click to expand... Thubutu yake !
King Kong III said: Naomba mniombee. Hapa ndipo tulipofikia. Msema kweli mpenzi wa mungu. Click to expand... Thubutu yake !
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,405 Reaction score 289,554 Jul 9, 2017 Thread starter #24 Mavipunda said: Viashiria vya Dereva wa Lori kushindwa..siku hizi kijiwe chake cha kiki ni Bandarini ila hii ya vichwa vya treni imemuumbua Click to expand... Unaambiwa mpaka wafanyakazi wa bandari wanamshangaa !
Mavipunda said: Viashiria vya Dereva wa Lori kushindwa..siku hizi kijiwe chake cha kiki ni Bandarini ila hii ya vichwa vya treni imemuumbua Click to expand... Unaambiwa mpaka wafanyakazi wa bandari wanamshangaa !