Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
Tuwatoe CCM mara mojaKwa nini tunaendelea kuwachagua ccm. Wakiwa wachache tutapata sera nzuri na meza zitapona.
haiwezekani kama chadema wataendelea kuwapokea ccm kila wanapotoka ccm na kuwaita majembe hii inawapa sifa ccm kuwa ina watu wazuriOperation delete CCM ifanyike
Kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu.haiwezekani kama chadema wataendelea kuwapokea ccm kila wanapotoka ccm na kuwaita majembe hii inawapa sifa ccm kuwa ina watu wazuri