Tathimini: NCCR-Mageuzi vs ACT-Wazalendo

umeanzisha Uzi ili ucoment mwenyewe?
 
Kuna dalili za mbatia kufukuzwa uanachama na ubunge wake kuyeyuka
 
Wewe umejaa chuki na wivu, kazi kufikiria mabaya kwa wenzio, hata akifukuzwa, jimbo litakuwa wazi, atajiunga na CDM na kulichukua, tatizo ni nini, kule ni kilimanjaro bwana!
 
Mnatofautiana nini na wewe unae muombea Zitto mabaya?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…