act ina wabunge 16 kati ya hao 14 wanatoka kigoma
Act juuuu zaidi,nccr ziiiiii kabisa chama kinakufa hiki
Act wazalendo ina mbunge 1 mh. zitto, na madiwani takriban 34 nchi nzima. kumbuka chama hiki ni kimpya hakikuwahi kuwa na mbunge hivyo hawajapoteza chochote kwenye uchaguzi huu.
Nccr mageuzi walikuwa na wabunge 4 kule mkoani kigoma na mmoja wa kuteuliwa(mbatia). baada ya uchaguzi wamepata mgombea 1. (mbatia).
je chama kipi kinafaa kupewa pongezi?
HONGEREN ACT WAZALENDO MWELEKEO WENU NI MZURI SANA.
ukawa iliyo kwisha mong'olewa meno na ccm inaidanganya Nccr masiki uwiiiiii
Sawa kwa kuwa umeuliza na kujijibu mwenyewe.Act Wazalendo ina Mbunge 1 Zitto Kabwe na madiwani takriban 34 nchi nzima, kumbuka chama hiki ni kimpya hakikuwahi kuwa na mbunge hivyo hawajapoteza chochote kwenye uchaguzi huu.
NCCR-mageuzi walikuwa na wabunge 4 kule mkoani Kigoma na mmoja wa kuteuliwa(James Mbatia) baada ya uchaguzi wamepata mgombea mmoja ambaye ni Mbatia.
Je chama kipi kinafaa kupewa pongezi?
Hongera ACT Wazalendo, mwelekeo wenu ni mzuri sana.
Wote wamefanya vibaya, tena act ndio imefanya vibaya zaidi, wamesimamisha wabunge karibu nchi mzima wameambulia kitu kimoja. NCCR wamesimamisha hata wabunge 20 hawaviki nao wanepata mbunge mnoja. Ilichofanikiwa act ni kuisadia CCM kurudisha majimbo yake ya kigoma. Hoja ya kuwa act ni chama kipya haina mashiko, kwa vile waasisi wake Si wapya. NARC ilishika madaraka Kenya siku chache tu baada ya kuanzishwa, Tsiryza ilinyakua madaraka Ugiriki miezi michache tu baada kuanzishwa. Kwa maoni yangu act wamefanya vibaya sana kwenye uchaguzi uliopita ukizingatia kuwa mgombea wake wa Uraisi hata 1% hakufikisha.
kenge ww. huna akili timamu