Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,153
- 28,763
Kwavile nyie ukoo wenu ni ukoo wa machizi unadhani watu wote machizi.Mtu yeyote anayezungumzia mambo ya raiskutokea CCM hana akili timamu.
Watu wanaongozwa na mihemuko ya bangi tu wanadhani urais ni kutanua vidole badala ya kutanua akili....huu uraisi umekuwa raisi sana kiasi kwamba unaweza kumchomo mgonjwa dripu za dawa na kumtoa wodini na kumpeleka ikulu aongoze nchi...wagojwa wanataka uraisi,wahuni wanataka uraisi,wazinzi wanataka uraisi,walarushwa wanataka uraisi na mafisadi ndio kabisa hataki kuokosa....sasa nchi imekuwa kama kichwa cha mwendawazim,kila mtu anaona anaweza kunyoa...
Mtu yeyote anayezungumzia mambo ya rais kutokea CCM hana akili timamu.
Mtu yeyote anayezungumzia mambo ya rais kutokea CCM hana akili timamu.
Unamfagilia Mwandosya kijanja.Huyu ni mccm na ccm hawatoweza kufagia uchafu wao walioulundika kwa miaka zaidi ya hamsini. Upepo uvumao sasa hivi ni upepo wa kuweka chama kingine madarakani. Tuwaache akina Makamba, Membe Sita, Lowassa waendelee kulilia pipi!
...huu uraisi umekuwa raisi sana kiasi kwamba unaweza kumchomo mgonjwa dripu za dawa na kumtoa wodini na kumpeleka ikulu aongoze nchi...wagojwa wanataka uraisi,wahuni wanataka uraisi,wazinzi wanataka uraisi,walarushwa wanataka uraisi na mafisadi ndio kabisa hataki kuukosa hasilani....sasa nchi imekuwa kama kichwa cha mwendawazim,kila mtu anaona anaweza kunyoa...
Naungana na wewe kwamba nchi imeongozwa hovyo hovyo mpaka watu kama akina mwandosya nao wanauota urais. Huyu waziri asiye na wizara maalum hana lolote na ana kiburi na nyodo sana. Yeye ndiye aliyeivuruga DAWASCO kwa maslahi yake binafsi. Alimwondoa CEO mchapakazi Bw. Kaaya kwa maslahi yake tu. Nasikia alipokuwa wizara ya maji alikuwa anafunguliwa hata mlango wa gari na msaidizi wake. Je, akiwa rais itakuwaje?? After all, ana nini cha kujivunia katika utumishi wake?! Ningekuwa mimi Kikwete, ningemtupilia mbali hata ukuu wa wilaya asingepata....huu uraisi umekuwa raisi sana kiasi kwamba unaweza kumchomo mgonjwa dripu za dawa na kumtoa wodini na kumpeleka ikulu aongoze nchi...wagojwa wanataka uraisi,wahuni wanataka uraisi,wazinzi wanataka uraisi,walarushwa wanataka uraisi na mafisadi ndio kabisa hataki kuukosa hasilani....sasa nchi imekuwa kama kichwa cha mwendawazim,kila mtu anaona anaweza kunyoa...
Mbali ya kuwa ccm, generally, mwandosya hafai kuwa rais hata mkuu wa wilaya.Unamfagilia Mwandosya kijanja.Huyu ni mccm na ccm hawatoweza kufagia
uchafu wao walioulundika kwa miaka zaidi ya hamsini. Upepo uvumao sasa hivi
ni upepo wa kuweka chama kingine madarakani. Tuwaache akina Makamba, Membe
Sita, Lowassa waendelee kulilia pipi!
Naungana na wewe kwamba nchi imeongozwa hovyo hovyo mpaka watu kama akina mwandosya nao wanauota urais. Huyu waziri asiye na wizara maalum hana lolote na ana kiburi na nyodo sana. Yeye ndiye aliyeivuruga DAWASCO kwa maslahi yake binafsi. Alimwondoa CEO mchapakazi Bw. Kaaya kwa maslahi yake tu. Nasikia alipokuwa wizara ya maji alikuwa anafunguliwa hata mlango wa gari na msaidizi wake. Je, akiwa rais itakuwaje?? After all, ana nini cha kujivunia katika utumishi wake?! Ningekuwa mimi Kikwete, ningemtupilia mbali hata ukuu wa wilaya asingepata.
Mbali ya kuwa ccm, generally, mwandosya hafai kuwa rais hata mkuu wa wilaya.
Mtu yeyote anayezungumzia mambo ya rais kutokea CCM hana akili timamu.
Mkuu, tatizo kubwa sana linalotukabili nchini ni kufanya uamuzi kutokana mambo ya kusikia. Sasa wewe umesikia tu kisha ukaamua Mwandosya sio kiongozi mzuri? Je unataka nikueleze niliyosikia kuhusu Lipumba, Mkapa, Zitto, Membe, James Mbatia nk?
Kuna Mwandishi wa Habari mmoja pale Nairobi aliwahi kumuuliza Nyerere "Nasikia unataka kuitawala Uganda". Nyerere alimuuliza wewe unaamini kila unachosikia? Na je ukisikia mimi ni baba yako, nilitembea na mama yako kukuzaa wewe, utaamini pia?
Sasa Mkuu, achana na mambo ya kusikia kisha ukakurupuka kukata shauri au kuchukua hatua. Utaja acha mke bure, maana nina uhakika kuna mengi unaweza sikia juu ya mkeo.
Kama JK ameweza kuwa raisi basi hakuna anayeshindwa .