Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,434
Sasa si bora waache kuwapa watu misaadaHii pesa inapigwa juu kwa juu
Ahahaha ase hii sio sawaUkimkuta afisa wa tasaf mwembamba ujue ana kisukali
Hiyo misaada midogo ndio njia ya wao kupiga pesa kubwa...Sasa si bora waache kuwapa watu misaada
Semina wanalipwa pesa kibao...hadi dereva anakitambi...Ukimkuta afisa wa tasaf mwembamba ujue ana kisukali
Ivi wewe unaweza kukaa na 30000 kwa mwezi?Hiyo misaada midogo ndio njia ya wao kupiga pesa kubwa...
Mpaka kinagusa ushukaniSemina wanalipwa pesa kibao...hadi dereva anakitambi...
Alaf bado wanaiiba🤣🤣🤣🤣Ivi wewe unaweza kukaa na 30000 kwa mwezi?
Mambo vp??Hellow
Tasaf mmekuwa kero sana kwa wananchi hasa vijijini mnaandika majina yenu ndio mnakuwa mnapokea ninyi hii sio sawa hata kidogo jana nimeshuhudia mwananch akirudi analia baada ya kwenda kupokea fedha za TASAF alitakiwa kupokea 30000 lakini kakatwa pesa kabakia 12000 je hii ni sawa wahusika?
Fedha za Tasaf zinamakato pia? Walengwa hawafikiwi na misaada badala yake ninyi mabos ndio mnakuwa wanufaika hiyo sio sawa
Mnatumia kigezo gani kuandikisha watu?
Mwananchi ana kuku tu na nimasikini lakini mnaona hali yake lakini mnakata kuandikisha mnaenda kwa watoto kuwaandikisha ili mpate na ninyi chajuu ina maana gani kuwepo kwa tasaf?
Pia policy ya wazee kuhusu matibabu imeelezea kabisa lakini hao wazee hawapati izo huduma kwanini msiunde sheria na waziri husika unalijua ilo na umekaa kimya au kisa ninyi kwenye familia zenu hamna shida kabisa hii haijakaa sawa
Watu wa utafiti uko serikalini wanatafiti nini? Mbona matatizo uko vijijini yamekuwa mengi na hakuna matatuzi mtu anakufa uku ana bima ya afya manesi hawatak bima wanataka pesa kwanini huu utaratibu munautoa wapi? Niny ndugu zenu wakigua teyar mmewakimbiza nje na hawa masikini wanasaidiwa na nan?
Inatia huzuni sana iv kweli kabisa mtu bado ananyimwa haki yakeAlaf bado wanaiiba🤣🤣🤣🤣
Kuna watu hana nguvu za kufanya kazi ujueWafanye kazi.
Tasaf ni mFuko unaoSaidia kaya masikini kwa lengo la kupunguza umasikiniMambo vp??
Tasaf NDIO nini....?
Nimekumbuka aisee kitambo aisee hatujawasiliana??
Tangu mfuko umeanzishwa, maskini wamepungua au wameongezeka!Tasaf ni mFuko unaoSaidia kaya masikini kwa lengo la kupunguza umasikini
Tena wanafunzi ndio wanapewa 10000 is ishirini wanagawana wakifanya ivyo kwa watu 70 kwa siku wana bei gani?Tumeshauri humu; huu mpango wa tasaf usitishwe, ufanyike upembuzi kujua nchi ina wazee wangapi above 60 wasio na social security cover, na bila njia nyingine za kuingiza kipato ndio wawe wanufaika wa tasaf but nobody cares.
Kuna wanufaika wa tasaf vijana wenye nguvu ya kufanya kazi wanaopokea hiyo pesa na kuishia kwenye ulevi.
Ina maan hujui hakuna uongo hapa kaka uko kijijini watu wanalia na pesa za TASAF mtu anapokea 3000 kwa miezi mitatu bado wanakatwa et wanasema wanakata kodi kodi ipi kwenye tasaf ambayo inakatwa?Aisee, watu wanapiga hadi hela za TASAF!! Mwogopeni Mungu jamani😪