N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,825
- 9,533
Sinza Makaburini-Mlimani City almaarufu IGESA Road ni kipande kibovu mno kwa zaidi ya miaka 10 sasa kipo hivyo hivyo tangu 2007 huko kinatengenezwa matobo yanarudi kila mara matobo yanarudi.....kipande hiki ni kero kubwa sana....na mkakati wa kupunguza foleni Sam Nujoma Road na Shekilango Road unafeli miongoni mwa sababu ni kipande hiki kidogo sana chenye kama mita 850 tu hivi!!....hebu changamkeni mbandue hiyo lami korofi mfix hapo once and for all...panashusha hadhi ya jiji kubwa la kibiashara Dar es Salaam beibi.
Kwa ufafanuzi zaidi nimeambatanisha picha kama ANNEX I na II
N'yadikwa
Kwa ufafanuzi zaidi nimeambatanisha picha kama ANNEX I na II
N'yadikwa