Tariq kumwagiwa acid usoni, nishakutana na huo msala. Ni Mungu tu

BIG BROTHER ALEX

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2025
Posts
1,293
Reaction score
2,211
Leo katika pitapita mtandaoni, nikakutana na stori ya Tariq awadh kipemba.

Huyu jamaa ALIKUA na mshikaji wake said, huyo said ALIKUA upinde yani shoga.

Basi bhana kutokana na u handsome boy wa Tariq, huyo rafiki ake said akamuomba awe anamla Yani awe ana muingilia kinyume na maumbile, Tariq aka goma kumla said mwanaume mwenzake.

Said aka chukia akaunda njama za kumwagia tindikali Tariq na alifanikiwa jambo lilompelekea kuharibika kwa sura huyo Tariq.

Jambo lililo nishangaza ni kuwa mtuhumiwa Hadi Leo ana dunda uraiani na hakuna kitu vyenye mtamfanya.

Hili jambo si busara kwa kweli haki kwa mtanzania siku hizi ni adimu sana, inasikitisha sana.

Nilipo kuwa Arusha nilikua ni mtu wa starehe, bata sana japo sikua na kipato Cha uhakika.

Maenei yangu pendwa hunikosi karibu Kila siku ILIKUA kimpong, billy s river, the boss mianzini.

Club zingine nilikua naenda si sana ila hayo maeneo ndo yalikua mahala pangu pakujidai, mana nikaribu na geto langu hapo town.

Siku MOJA nakumbuka ILIKUA jpili kuamkia jtatu, ILIKUA ni karibu na sikukuu miez kama hii, December ka mnavo jua hekaheka chuga si poa klabu Zina jaa si mchezo.

NILI bang kimpong badae nikahamia billys, muda ulikua umeenda sana kama saa nane hivi usiku.

Nilipofika Billy's watu walikua wengi sana si kawaida mana Billy's kipind hicho jama Huwa ni ijumaa na jmos, jpili huwa si sana hapajai KABISA.

Nikiwa nimekaa zangu counter, sina hili Wala like mara nikashangaa mtu anani gusa kwa tabasamu pana, ALIKUA dogo TU ana rasi nyingi mwembamba sana kava vizuri, nikampa hey, Sasa si unajua tena sauti ya mziki hivo inabidi kusogeleana masikini ili kusikilizana, neno la kwanza kutoka kwake nikajua TU huyu mkenya si mbongo.

Basi bhana tukapiga stori sana, akani sihii niagize kinywaji atalipia, nikasema poa basi kwa sababu situmiagi pombe nikaaguza redbull, nikaanzq kupata mara akanishtua tuhamie KULE vip karibu na jukwani, nikasema poa tukahama bhana.

Tumefika pale vip tukakaa nikwa naona watu wanampa hey wanasepa, alafu hapo tuliokua WATATU MIMI mkenya na dogo mwingine ambae badae katika stori inasemekana ni msanii under ground na walikua wameenda moshi kurecord gharama zote alibeba mkenya.Inasemekan hata kurecord ilishindikana, na walimaliza usiku ikabidi wahairishe Sasa kurudi Arusha gari hazikuepo ikabidi washauriwe walale kama hawato pata gari private iwape escort, mkenya akagoma akadai ni lazima akalale Arusha hawezi Baki moshi, vita nikuvute wazo likapatikana wakodi gari tax, iwalete Arusha ye na msanii wake, wakafanikiwa kupata tax ikawaleta chuga, walipo fika wakaunga club kula Bata wakiwa na ile tax ilyo watoa moshi.

Nilivo sikiliza inshu yao hao jamaa nikajisemea yes, nimeokota dodo chini ya mnazi, huyu mkenya ana hela lazima anitoe mtaji wa BIASHARA mana nilikua nmeajiriwa hotelini bondeni karibu na stendi ya bus Arusha mjini.

Tukacheza pale badae, yule mkenya akaniita rafiki, tunaweza ondoka mana yapata saa kumi na moja asubuhi, nikasema shega ye akanisihi twende ukapaone kwangu naishi kwangu basi bwana mi nahesabu zangu kichwani, nikasema poa mana nilikua Nisha mgusia inshu ya biashara yangu ye anisapoti kipesa akakubali, basi tukatoka hao safari ikaanza tukiwa kwenye gari Mimi, mkenya na tax driver na dogo msanii.

Tukaanza kukata masafa, tukashika high way ya kwenda moshi, kama tunaelekea kwa mrefu nadhani wenyeji mnapajua, tukatembea haswa mbele KABISA, asubuhi pakaanza kupambazuka, tupo njiani, yule dogo akadai amefika anapo enda akanisihi sana oya kaka si uende kwako mana utachelewa kazini, mkenya akamuwahi hakuna shida huyu haendi job Niko NAE, dogo akanikomalia hapana huyo chali anaenda kwake mruhusu ni kama vile dogo ALIKUA anajua tabia ya mshikaji, mi Sina wasiwasi, nikamtoa shaka dogo asijali Kuna mzigo mkenya anaenda kunipa then nasepa dogo akasema basi mkuu mi nasepa nikasema poa. Tukaendela na safari kidogo tuka fika kwake nilipo kuwa nje Yale mazingira nikajua TU hapa ni shule ya watoto wadogo nursery, tukazama ndani jamaa akapigwa hesabu na dereva wa tax wakalipana wakaachna tukazama ndani.

Kwa kweli huyo DOGO mkenya ALIKUA poa, ndo akaninuza hiyo shule ni yake mwenyewe akanipa stori kidogo, kuwa ALIKUA tour guide kwenye kampuni flani ila mshahara ulikua ndogo japo Kuna tip ALIKUA anapata, ila mshara haukumridhisha akaacha kazi, anaendelea kuwa walimtabiria maisha yake yatakuja magumi ila jamaa aka hustle haswa mpaka kufungua ka shule kadogo TU. Asee nilivutiwa sana na akili ya huyo DOGO Yani kafanya jambo kubwa sana nje ya umri wake, katika stori nikagundua kuwa huyo DOGO anapata misaada pia na DILI mbalimbali kutoka kwa rafiki zake watalii alio kuwa anawatembeza maana ALIKUA anawasiliana nao nikiwepo pale, Kuna mzungu Yuko uswisi ni demu alimuahidi kunitumia kiasi Cha pesa ili kushughulikia inshu yake hiyo ya shule ndogo ya watoto, pia jamaa akadai Kuna watalii hufika hapo shuleni kucheza na watoto, na humlipa huyo DOGO dollar kadhaa sikumbuki shingapi.

Basi sababu tuliokua tumechoka dogo akadai tupumzike tukiamka twende town akanipe ile pesa aloniahidi, basi bhana, mara nikawa simu elewi anavo ongea mapozi mara nini mhhh, machale yakanicheza, dogo akanambia bro nataka nibadili maisha yako ila TU kibali tufanye mapenzi ya jinsia MOJA Yani kuingiliana kinyume na maumbile, nikabadilika mana nilikua Nisha msoma kabla hata yeye hajasema chochote, basi bwana nikamchana nika mwambia hizo inshu, sipendelei chali angu, dogo akadai chali yangu takubadilishia maisha yako USIWE na shida we kibali TU, nikamkazia nikamwambia sitaaki hizo inshu ni marufuku, alafu hayakua makubaliano yetu, labda nacho mashujuri mungu dogo ALIKUA amelewa pia hata mwili nilimzidi mi mrefu ye mfupi mwembamba japo NAMI mwembamba, dogo baada ya kuona nime jaa simu, aka badili maneno akashauri tupumzike badae tutasepa, kweli tukasikilizia mda kidogo akaoga akaniuliza vipi huogi nikamjibu usijali Niko poa Huwa siogi Kila mara, akacheka tuka Toka tukasepa town, hata hela yenyewe siku chukua nakumbuka Kuna ef tano nilikua Nisha vuta basi nikasepa zangu, mana nilikua naishi town KABISA hapo chuga.

Tuliendelea kuwa MARAFIKI siku MOJA katika kupiga stori, mana alidai ili anitoe pesa itabidi nikubali kufanya NAE mapenzi ya jinsia MOJA eti amenikibali kuchizi, nika mwambia wewe una watoto hapo shuleni kwako, na tabia yako ndo hii mbona unanipa mashaka na kile unacho wafundisha hao watoto, ambayo kwa asilimia kubwa ni familia za kawaida Na dunia, hujui serikali ikitambua hii michezo yako itakufunga,Dogo akacheka alafu akanijibu, ANAFANYA VYENYE ANAJISIKIA AND NO ONE CAN STOP ME, dah niliishiwa pozi, muda ulipita badae nika mpunguza mana niliona hamna MSAADA hapo bila kufanya kile anacho taka.

Siku MOJA nimetoka job pale hotelini nipo mitaa ya picnic lounge kwa njee nimesimama na piga hesabu ya kwenda kulala night Kali sana, nikamuona yule dogo na kijana mwingine wanafata nyuma, kuelekea pale wanapo uza kuku nje ya xo night club, nika kaa kuwa chora ,nikagundua yule dogo kajaa kwa mkenya mana ALIKUA anachagua kuku alafu hela anatoa mkenya Nikajisemea TU huyu dogo tayari kesha ingia kwenye mfumo wa huyo mkenya, basi bhana nika sepa zangu.

Tukio jingine ni palepale picnic lounge kwa nje natoka kazini NAPIGA misele night Kali kutafuta usingizi nikajipumzishe, nikaona videmu viwili nje ya ile hotel iliyo jengwa mpya wakati huo pembeni ya picnic lounge hivo videmu vilikua vina pigana denda hadharani Yani wanashiriki mapenzi ya jinsia moja dah nikasikitika nikasepa zangu geto.

Tujitahidi kuwa makini na MARAFIKI haswa sisi walala hoi, kuwa makini hasa na Hawa wanaojiita washikaji acha KABISA ikimuona haeleweki piga chini chap usiwaendekeze KABISA.

Mwisho, samahani kwa uandishi
 
Mtu maskini ni mtu hatari sana hata kwa usalama wa Taifa, unakutana na mtu usiku saa nane tena mtu wa nchi nyingine hapo hapo unaanza kumtangazia shida zako na ufukara wako, tena mwanaume mwenzio unaanza kummendea akupe hela ya mtaji wa biashara?

Arusha kumejaa wanaume wa hovyo sana, ndio maana hata Dada Zenu hawataki kuolewa na nyie ni machokoraa
 
Leo katika pitapita mtandaoni, nikakutana na stori ya Tariq awadh kipemba, huyu jamaa ALIKUA na mshikaji wake said, huyo said ALIKUA upinde, Yani shoga.

Basi bhana kutokana na u handsome boy wa Tariq, huyo rafiki ake said akamuomba awe anamla Yani awe ana muingilia kinyume na maumbile, Tariq aka goma kumla said mwanaume mwenzake.

Said aka chukia akaunda njama za kumwagia tindikali Tariq na alifanikiwa jambo lilompelekea kuharibika kwa sura huyo Tariq.

Jambo lililo nishangaza ni kuwa mtuhumiwa Hadi Leo ana dunda uraiani na hakuna kitu vyenye mtamfanya hii jambo si busara kwa kweli haki kwa mtanzania siku hizi ni adimu sana, inasikitisha sana.

Nilipo kuwa Arusha nilikua ni mtu wa starehe , Bata sana japo sikua na kipato Cha uhakika, maeneo yangu pendwa hunikosi karibu Kila siku ILIKUA kimpong, billy s river, the boss mianzini, club zingine nilikua naenda si sana ila hayo maeneo ndo yalikua mahala pangu pakujidai, mana nikaribu na geto langu hapo town.

Siku MOJA nakumbuka ILIKUA jpili kuamkia jtatu, ILIKUA ni karibu na sikuku miez kama hii, December ka mnavo jua hekaheka chuga si poa klabu Zina jaa si mchezo, NILI bang kimpong badae nika hamaia billy s, muda ulikua umeenda sana kama saa nane hivi usiku, nilipo fika Billy's watu walikua wengi sana si kawaida mana Billy's kipind hicho jama Huwa ni ijumaa na jmos, jpili hua si sana hapajai KABISA.

Nikiwa nimekaa zangu counter, Sina hili Wala like mara nikashangaa mtu anani gusa kwa tabasamu pana, ALIKUA dogo TU ana rasi nyingi mwembamba sana kava vizuri, nikampa hey, Sasa si unajua tena sauti ya mziki hivo inabidi kusogeleana masikini ili kusikilizana, neno la kwanza kutoka kwake nikajua TU huyu mkenya si mbongo.

Basi bhana tukapiga stori sana, akani sihii niagize kinywaji atalipia, nikasema poa basi kwa sababu situmiagi pombe nikaaguza redbull, nikaanzq kupata mara akanishtua tuhamie KULE vip karibu na jukwani, nikasema poa tukahama bhana.

Tumefika pale vip tukakaa nikwa naona watu wanampa hey wanasepa, alafu hapo tuliokua WATATU MIMI mkenya na dogo mwingine ambae badae katika stori inasemekana ni msanii under ground na walikua wameenda moshi kurecord gharama zote alibeba mkenya.Inasemekan hata kurecord ilishindikana, na walimaliza usiku ikabidi wahairishe Sasa kurudi Arusha gari hazikuepo ikabidi washauriwe walale kama hawato pata gari private iwape escort, mkenya akagoma akadai ni lazima akalale Arusha hawezi Baki moshi, vita nikuvute wazo likapatikana wakodi gari tax, iwalete Arusha ye na msanii wake, wakafanikiwa kupata tax ikawaleta chuga, walipo fika wakaunga club kula Bata wakiwa na ile tax ilyo watoa moshi.

Nilivo sikiliza inshu yao hao jamaa nikajisemea yes, nimeokota dodo chini ya mnazi, huyu mkenya ana hela lazima anitoe mtaji wa BIASHARA mana nilikua nmeajiriwa hotelini bondeno karibu na stendi ya bus Arusha mjini.

Tukacheza pale badae, yule mkenya akaniita rafiki, tunaweza ondoka mana yapata saa kumi na moja asubuhi, nikasema shega ye akanisihi twende ukapaone kwangu naishi kwangu basi bwana mi nahesabu zangu kichwani, nikasema poa mana nilikua Nisha mgusia inshu ya biashara yangu ye anisapoti kipesa akakubali, basi tukatoka hao safari ikaanza tukiwa kwenye gari Mimi, mkenya na tax driver na dogo msanii.

Tukaanza kukata masafa, tukashika high way ya kwenda moshi, kama tunaelekea kwa mrefu nadhani wenyeji mnapajua, tukatembea haswa mbele KABISA, asubuhi pakaanza kupambazuka, tupo njiani, yule dogo akadai amefika anapo enda akanisihi sana oya kaka si uende kwako mana utachelewa kazini, mkenya akamuwahi hakuna shida huyu haendi job Niko NAE, dogo akanikomalia hapana huyo chali anaenda kwake mruhusu ni kama vile dogo ALIKUA anajua tabia ya mshikaji, mi Sina wasiwasi, nikamtoa shaka dogo asijali Kuna mzigo mkenya anaenda kunipa then nasepa dogo akasema basi mkuu mi nasepa nikasema poa. Tukaendela na safari kidogo tuka fika kwake nilipo kuwa nje Yale mazingira nikajua TU hapa ni shule ya watoto wadogo nursery, tukazama ndani jamaa akapigwa hesabu na dereva wa tax wakalipana wakaachna tukazama ndani.

Kwa kweli huyo DOGO mkenya ALIKUA poa, ndo akaninuza hiyo shule ni yake mwenyewe akanipa stori kidogo, kuwa ALIKUA tour guide kwenye kampuni flani ila mshahara ulikua ndogo japo Kuna tip ALIKUA anapata, ila mshara haukumridhisha akaacha kazi, anaendelea kuwa walimtabiria maisha yake yatakuja magumi ila jamaa aka hustle haswa mpaka kufungua ka shule kadogo TU. Asee nilivutiwa sana na akili ya huyo DOGO Yani kafanya jambo kubwa sana nje ya umri wake, katika stori nikagundua kuwa huyo DOGO anapata misaada pia na DILI mbalimbali kutoka kwa rafiki zake watalii alio kuwa anawatembeza maana ALIKUA anawasiliana nao nikiwepo pale, Kuna mzungu Yuko uswisi ni demu alimuahidi kunitumia kiasi Cha pesa ili kushughulikia inshu yake hiyo ya shule ndogo ya watoto, pia jamaa akadai Kuna watalii hufika hapo shuleni kucheza na watoto, na humlipa huyo DOGO dollar kadhaa sikumbuki shingapi.

Basi sababu tuliokua tumechoka dogo akadai tupumzike tukiamka twende town akanipe ile pesa aloniahidi, basi bhana, mara nikawa simu elewi anavo ongea mapozi mara nini mhhh, machale yakanicheza, dogo akanambia bro nataka nibadili maisha yako ila TU kibali tufanye mapenzi ya jinsia MOJA Yani kuingiliana kinyume na maumbile, nikabadilika mana nilikua Nisha msoma kabla hata yeye hajasema chochote, basi bwana nikamchana nika mwambia hizo inshu, sipendelei chali angu, dogo akadai chali yangu takubadilishia maisha yako USIWE na shida we kibali TU, nikamkazia nikamwambia sitaaki hizo inshu ni marufuku, alafu hayakua makubaliano yetu, labda nacho mashujuri mungu dogo ALIKUA amelewa pia hata mwili nilimzidi mi mrefu ye mfupi mwembamba japo NAMI mwembamba, dogo baada ya kuona nime jaa simu, aka badili maneno akashauri tupumzike badae tutasepa, kweli tukasikilizia mda kidogo akaoga akaniuliza vipi huogi nikamjibu usijali Niko poa Huwa siogi Kila mara, akacheka tuka Toka tukasepa town, hata hela yenyewe siku chukua nakumbuka Kuna ef tano nilikua Nisha vuta basi nikasepa zangu, mana nilikua naishi town KABISA hapo chuga.

Tuliendelea kuwa MARAFIKI siku MOJA katika kupiga stori, mana alidai ili anitoe pesa itabidi nikubali kufanya NAE mapenzi ya jinsia MOJA eti amenikibali kuchizi, nika mwambia wewe una watoto hapo shuleni kwako, na tabia yako ndo hii mbona unanipa mashaka na kile unacho wafundisha hao watoto, ambayo kwa asilimia kubwa ni familia za kawaida Na dunia, hujui serikali ikitambua hii michezo yako itakufunga,Dogo akacheka alafu akanijibu, ANAFANYA VYENYE ANAJISIKIA AND NO ONE CAN STOP ME, dah niliishiwa pozi, muda ulipita badae nika mpunguza mana niliona hamna MSAADA hapo bila kufanya kile anacho taka.

Siku MOJA nimetoka job pale hotelini nipo mitaa ya picnic lounge kwa njee nimesimama na piga hesabu ya kwenda kulala night Kali sana, nikamuona yule dogo na kijana mwingine wanafata nyuma, kuelekea pale wanapo uza kuku nje ya xo night club, nika kaa kuwa chora ,nikagundua yule dogo kajaa kwa mkenya mana ALIKUA anachagua kuku alafu hela anatoa mkenya Nikajisemea TU huyu dogo tayari kesha ingia kwenye mfumo wa huyo mkenya, basi bhana nika sepa zangu.

Tukio jingine ni palepale picnic lounge kwa nje natoka kazini NAPIGA misele night Kali kutafuta usingizi nikajipumzishe, nikaona videmu viwili nje ya ile hotel iliyo jengwa mpya wakati huo pembeni ya picnic lounge hivo videmu vilikua vina pigana denda hadharani Yani wanashiriki mapenzi ya jinsia moja dah nikasikitika nikasepa zangu geto.

Tujitahidi kuwa makini na MARAFIKI haswa sisi walala hoi, kuwa makini hasa na Hawa wanaojiita washikaji acha KABISA ikimuona haeleweki piga chini chap usiwaendekeze KABISA.

Mwisho, samahani kwa uandishi
Mwishoni mwa maelezo sijakuelewa, inamaana mlivyoendeleza urafiki wenu baadaye ulimkula?

Inaonekana hayo maeneo yana wasenge wengi sana!
 
Mtu maskini ni mtu hatari sana hata kwa usalama wa Taifa, unakutana na mtu usiku saa nane tena mtu wa nchi nyingine hapo hapo unaanza kumtangazia shida zako na ufukara wako, tena mwanaume mwenzio unaanza kummendea akupe hela ya mtaji wa biashara?

Arusha kumejaa wanaume wa hovyo sana, ndio maana hata Dada Zenu hawataki kuolewa na nyie ni machokoraa
Bro kwa kipindi hicho umri wangu ulikua hauja komaa, alafu pili huyo jamaa jinsi tulivo tumia muda mchache NAYE, ILIKUA ngumu sana kumdhania vibaya maana ye ndo ALIKUA wa kwanza kunionyesha project zake, NAMI nikamwambia malengo yangu hivo niliamini nimempata wa kufanana NAE katika hustling.
 
Mwishoni mwa maelezo sijakuelewa, inamaana mlivyoendeleza urafiki wenu baadaye ulimkula?

Inaonekana hayo maeneo yana wasenge wengi sana!
Hapana sikumkula huyo DOGO kwa hata yeye ALIKUA anani ogopa kwa muonekano wangu kipindi hicho, chuga wahuni wengi hivo hata yeye ALIKUA hajiamini kwangu anahisi labda naweza muibia au kumdhuru.
 
Mtu maskini ni mtu hatari sana hata kwa usalama wa Taifa, unakutana na mtu usiku saa nane tena mtu wa nchi nyingine hapo hapo unaanza kumtangazia shida zako na ufukara wako, tena mwanaume mwenzio unaanza kummendea akupe hela ya mtaji wa biashara?

Arusha kumejaa wanaume wa hovyo sana, ndio maana hata Dada Zenu hawataki kuolewa na nyie ni machokoraa
Kudadadeki ni nomaaa
 
Kwa nini hujairipoti hiyo chekechea mpaka sasa, nenda ofisi za wilaya omba kuonana na dso
Dada unaniingiza kwenye matatizo, mtu nilijaribu kumsihi aachane na hizo inshu, ata ishia mikononi mwa serikali akadai hamna mtu wa kufanya kitu, na SERIKALI Huwa si inakagua ? Mi kwenda kutoa ushahidi tayari najiingiza kwenye matatizo, na Sina wa kunilinda alafu huyo dogo connection aliyo nayo acha tu labda kwa kuisaidia mtag GWAJIMA hao viongozi wenu sinaga Imani nao mana nao hawavumi lakini wamo
 
wait unajua kwenye hii story nikajua wewe ni demu, mwanaume unakubalije kununuliwa kinywaji fine hiyo inawezekana lakin twende kwangu??? damn alafu unazipangiaje hela za mwanaume mwenzio kwamba atanipa mtaji meeeen whats fucking wrong with u are u gay??
 
Acha woga zipo njia nyingi za kuripoti jambo,kwani ulivyofanya hapa akipitia huu uzo si atajua ni wewe? Kwa hiyo unaacha jamii iharibiwa. Kiufupi LGBT target yao ni watoto mpaka umri wa miaka 16 hv,wanaamini ukimwanzishia mtoto hiyo michezo akikuwa hawezi kuacha, na ndio maaana matukio mengi ya ulawiti ni ya watoto wadogo hasa age ya kuanzia miaka 6-15
 
Kaka nisikilize mpaka hapo naamini we ni wale walala mapema, tunawaita wapendwa, ukiingia klabu kununuliwa bia sio lazima uwe demu kaka, unapo ingia club inategemeaana na unajichanganyaje na Wana si mara moja kununuliwa kinywaji na mtu ni kawaida kwa sisi mapopo, chemistry ikiendana TU Wana mnastiriana upo hapo mkuu?
 
Acha woga zipo njia nyingi za kuripoti jambo,kwani ulivyofanya hapa akipitia huu uzo si atajua ni wewe? Kwa hiyo unaacha jamii iharibiwa. Kiufupi LGBT target yao ni watoto mpaka umri wa miaka 16 hv,wanaamini ukimwanzishia mtoto hiyo michezo akikuwa hawezi kuacha, na ndio maaana matukio mengi ya ulawiti ni ya watoto wadogo hasa age ya kuanzia miaka 6-15
Mi sipo Arusha kwa Sasa labda tapo Rudi, lakini Kodi si nimetoka maeneo ilipo, Fanya kunisaidia kuongea na mamlaka.

Kuna jamaa alileta Uzi zamani sana humu jf, kwamba alishawishiwa kujiingiza kwenye BIASHARA ya dawa za kulevya kuzifata India, kuhusu usalama wake aliambiwa Kuna mtu MKUBWA serikalini ambae hakaguliwi airport ANAPITIA TU ndo bosi wao we unasema nikareport kweli?
 
Back
Top Bottom