Tarime wamuomba Heche kugombea ubunge

Kumpeleka heche bungeni ni kuwaongezea ukichaa chadema. Jamaa viroba vishamzidia
 
hii inajulikana kwani hana kzi ya kufanya, vijana wa chadema wanaichukulia siasa kama sehemu ya riziki yao, tufanye kazi zingine kama kilimo hana jipya ni njaa tu

Hata kufanya siasa ni kazi pia, serikali na nchi yako kwa ujumla vinaendeshwa na wanasiasa. Na hilo huwezi kupinga wala kubisha wala kukwepa! Utake au usitake wanasiasa wataendelea kuongoza nchi na kuwakilisha majimbo. Tena watalipwa kwa kodi zako.
Hongera lakini wewe usiye na njaa maana unafanya kazi JF..
 

Mbulula povu linamtoka sasa
 
akiomba Lowasa wetu povu linawatoka,
 
hii staili ya lowasa kuombwa kugombea wakati anajulikana anataka kugombea naona imeingia hadi chadema heche alishatangaza muda mrefu anataka kugombea sasa inakuwaje tena leo aombwe kugombea matokeo yake wanagawa wanachama kura zinaenda chama tawala
 
:msela::msela::cheer2::cheer2::msela::msela::juggle::juggle:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…