Heche hawezi chochote na hana lolote mdogo wangu yule hajiwezi kabisa
Subirini wapambe wa MWIKABE WAITARA waje.
Heche hawezi chochote na hana lolote mdogo wangu yule hajiwezi kabisa
Subirini wapambe wa MWIKABE WAITARA waje.
Subirini wapambe wa MWIKABE WAITARA waje.
Hilo jimbo si lina mbunge? Nyambari ni mbunge wetu mpaka aache mwenyewe
Hilo jimbo si lina mbunge? Nyambari ni mbunge wetu mpaka aache mwenyewe
hii inajulikana kwani hana kzi ya kufanya, vijana wa chadema wanaichukulia siasa kama sehemu ya riziki yao, tufanye kazi zingine kama kilimo hana jipya ni njaa tukatika hali inayoonyesha kuzidi kung'aa kwa nyota ya john heche kisiasa, kwa mara nyingine tena wakazi wa jimbo la uchaguzi la tarime mkoani mara wamemuomba kijana wao huyo agombee ubunge jimboni humo kwasababu ni kijana wanayemuamini sana katika kupambana na udhalimu katika kipindi hiki cha ukombozi mpya wa taifa hili.
Hayo yote yameonekana katika kipindi chote ambacho heche amekuwa katika harakati za kisiasa hapa nchini, tangu akiwa mwenyekiti wa bavicha na mpaka sasa.
Vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo magazeti na mitandao ya kijamii imewanukuu wananchi wa tarime wakimuomba kijana wao huyo kulinyakua jimbo hilo bila kusita.