Tarime: Lowassa aandaliwa mapokezi makubwa

Tarime: Lowassa aandaliwa mapokezi makubwa

gimanini

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Posts
1,910
Reaction score
1,981
Zimebaki siku 2 rais mtarajiwa atue mjini tarime,hapo siku ya jumanne huku wananchi kila kona ni Mijadala juu ya ujio wa kipenzi chetu.

Karibu nyumbani Edward Lowassa
 
Aisee naangalia kichinjio changu muda huu maana nitaichinjia mbali ccm asubuhi asubuhi tu.
 
TARIME NI BABA WA MABADILIKO NA HUWA HAWAUPENDI UONGO WA FISIEMU WALISHAJITAMBUA ZAMANI!
kk
 
ila tulitamani afanye mkutano mida ya jioni,ila basi ht km saa 5 asbh tuko nae.
 
Huku hawataki uongo watamtia mawe tena kama kipindi kile
 
Back
Top Bottom