Nakumbuka mbunge N. Nyangwine alikuja huko eti kutuliza fujo na kuongea na wananchi! wananchi wa hapa hawataki mzaha, jamaa alichapwa mawe na kusepeshwa mzima mzima..Utash mdogo wa viongoz weng ndo chanzo.huwa haingii akilin watu wachache(some whites) wanatawala akil za viongoz wetu Africa.kwa mwendo huu tutafika.!?
Excel Tanzania hii kuna sehemu ina afadhali? Kote sawa tu, kuna msemo unasema "kila aliae hushika kichwa chake"mkuu kwenu hali ikoje? kuna chochote cha potential kweli?
Dah poleni wahuko
Jamaa_Mbishi, nikikwambia hao vijana walio kwenye lundo la mawe wakipewa t-shirt kofia na sh elf tano wataipigia kura ccm 2015, utabisha?Narudia tena kusema; with CCM, hii nchi haiwezi kuendelea hata iweje.
Jamaa_Mbishi, nikikwambia hao vijana walio kwenye lundo la mawe wakipewa t-shirt kofia na sh elf tano wataipigia kura ccm 2015, utabisha?
Jamaa_Mbishi, nikikwambia hao vijana walio kwenye lundo la mawe wakipewa t-shirt kofia na sh elf tano wataipigia kura ccm 2015, utabisha?