Chuo kikuu aaah basi sawa ngoja tusubri du nimechoka kukaa idle homeMleta Mada sijakuelewa unamaanisha vyuo vipi maana Kuna certificate,diploma na chuo kikuu. Kwa upande wa chuo kikuu Kuna kitu kinaitwa bodi ya mikopo na wao Wana mamlaka ya kupanga tareh ya wanafunzi kuripot chuo. Kumbuka last year vyuo vikuu waliambiwa waongeza tareh za kufungua chuo mpka mchakato wa mkopo kwa wanafunz ukamilika, mwanafunz atakapo enda kuripot basi mkopo wake haukute chuo na siyo kuanza kusubiria HAPA KAZI TU
Mleta Mada sijakuelewa unamaanisha vyuo vipi maana Kuna certificate,diploma na chuo kikuu. Kwa upande wa chuo kikuu Kuna kitu kinaitwa bodi ya mikopo na wao Wana mamlaka ya kupanga tareh ya wanafunzi kuripot chuo. Kumbuka last year vyuo vikuu waliambiwa waongeza tareh za kufungua chuo mpka mchakato wa mkopo kwa wanafunz ukamilika, mwanafunz atakapo enda kuripot basi mkopo wake haukute chuo na siyo kuanza kusubiria HAPA KAZI TU
Wewe ndo kilaza tena mpuuzi, unabisha nini kama elimu yako ndogo bora ukae kimya nimemalza chuo mwaka ulioisha, waraka ulitolewa kwa tareh za kufungua chuo ziongezwa kwasababu bodi ya mikopa ilikuwa bado kukamilisha mchakato wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi, waulize udom, sauti na vyuo vingine walifungua vyuo tareh ngapi. Degree utaisikia kwenye BOMBA hongera ndalichoka kuongeza pass mark za kwenda chuo kupunguza vilaza kama hawaWewe ni ****** bodi ya mikopo??? inapangaje tarehe za kufungua vyuo??? TCU wenyewe hawana mamlaka ya kuvipangia vyuo tarehe rasmi za kufungua
Mkuu...Wewe ndo ****** tena mpuuzi, unabisha nini kama elimu yako ndogo bora ukae kimya nimemalza chuo mwaka ulioisha, waraka ulitolewa kwa tareh za kufungua chuo ziongezwa kwasababu bodi ya mikopa ilikuwa bado kukamilisha mchakato wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi, waulize udom, sauti na vyuo vingine walifungua vyuo tareh ngapi. Degree utaisikia kwenye BOMBA hongera ndalichoka kuongeza pass mark za kwenda chuo kupunguza ****** kama hawa
Wewe ndo ****** tena mpuuzi, unabisha nini kama elimu yako ndogo bora ukae kimya nimemalza chuo mwaka ulioisha, waraka ulitolewa kwa tareh za kufungua chuo ziongezwa kwasababu bodi ya mikopa ilikuwa bado kukamilisha mchakato wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi, waulize udom, sauti na vyuo vingine walifungua vyuo tareh ngapi. Degree utaisikia kwenye BOMBA hongera ndalichoka kuongeza pass mark za kwenda chuo kupunguza ****** kama hawa
Wewe ndo ****** tena mpuuzi, unabisha nini kama elimu yako ndogo bora ukae kimya nimemalza chuo mwaka ulioisha, waraka ulitolewa kwa tareh za kufungua chuo ziongezwa kwasababu bodi ya mikopa ilikuwa bado kukamilisha mchakato wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi, waulize udom, sauti na vyuo vingine walifungua vyuo tareh ngapi. Degree utaisikia kwenye BOMBA hongera ndalichoka kuongeza pass mark za kwenda chuo kupunguza ****** kama hawa
nimemaliza degree ya pili mwaka 2013 wakati wewe ndo uko mwaka wa kwanza kwa hiyo bwana mdogo acha dharau. na kwa taarifa tuu ni kwamba nafundisha undergraduate so kama unaona shahada moja ni dili au umesoma sana poleeWewe ndo ****** tena mpuuzi, unabisha nini kama elimu yako ndogo bora ukae kimya nimemalza chuo mwaka ulioisha, waraka ulitolewa kwa tareh za kufungua chuo ziongezwa kwasababu bodi ya mikopa ilikuwa bado kukamilisha mchakato wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi, waulize udom, sauti na vyuo vingine walifungua vyuo tareh ngapi. Degree utaisikia kwenye BOMBA hongera ndalichoka kuongeza pass mark za kwenda chuo kupunguza ****** kama hawa
nimemaliza degree ya pili mwaka 2013 wakati wewe ndo uko mwaka wa kwanza kwa hiyo bwana mdogo acha dharau. na kwa taarifa tuu ni kwamba nafundisha undergraduate so kama unaona shahada moja ni dili au umesoma sana polee
na hili si tatizo lako ni tatizo la BRN.
form 4 lyamungo sec Dv 1 ya 16
form 6 MZUMBE HIGH DIV 1 ya 8
Hii misifa tu kwan ivyo vijit ulipata peke yako.nimemaliza degree ya pili mwaka 2013 wakati wewe ndo uko mwaka wa kwanza kwa hiyo bwana mdogo acha dharau. na kwa taarifa tuu ni kwamba nafundisha undergraduate so kama unaona shahada moja ni dili au umesoma sana polee
na hili si tatizo lako ni tatizo la BRN.
form 4 lyamungo sec Dv 1 ya 16
form 6 MZUMBE HIGH DIV 1 ya 8
duuuh we acha tu mkuuChuo kikuu aaah basi sawa ngoja tusubri du nimechoka kukaa idle home
2016UDOM itafunguliwa October 29,2015 kwa continuous ila nyie first year mtakuja on week before.
Nmekuelewa mkuu .UDOM itafunguliwa October 29,2015 kwa continuous ila nyie first year mtakuja on week before.
Wakuu samahani nahitaji ushauri wenu katika hizi kozi nina gpa ya 3.9 diploma ya account toka TIA, nime apply hivi udsm bcom-accounting,udsm bcom-finance,tia-accounting,ardhi-science in accounting & finance. Kwa udsm wanatak o'level uwe na c ya b-maths sasa mimi sikupata C wakuu ila nina B+ ya bussiness maths and statistics ya diploma! je hapo mtazamo wenu naweza pata chuo wapi wakuu?. AhsantehMiaka mingap
Ukihitaji akufundishie nyumbani anakubali?Kwa rasi simba ni wakati wowote shule inatembea, hana likizo na pesa
Ras simba kile n chuo kwan?Kwa rasi simba ni wakati wowote shule inatembea, hana likizo na pesa