M-pesa JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 602 Reaction score 152 Nov 18, 2011 #1 Tarehe moja kwa maandamano nchi nzima bila kujali itikadi ndo suluhisho la uhuni wa CCM. Tarehe tofauti tofauti kwa kila kundi ni sumu na itazidi kutugawa watanzania.
Tarehe moja kwa maandamano nchi nzima bila kujali itikadi ndo suluhisho la uhuni wa CCM. Tarehe tofauti tofauti kwa kila kundi ni sumu na itazidi kutugawa watanzania.