Wafanyakazi wenyewe uwajibikaji wao balaa tupu.
We nenda maofisini one urasimu wao na uzembe wao.
Na zaidi imeingai kuchat basi balaaa.
Hakuna Nchi inaweza kukidhi mahitaji ya wafanyakazi wake kama inavyohitajika.
Some risala ya upande wa USA,utajua kwamba hili sio kwetu tu.
We goma halafu uone Graduates wanavyokuja kula nafasi hizo tena kwa nusu mshahara tu.Kuna Hospitali moja Kenya waligoma,basi waziri aliagiza muda huo huo zitangazwe nafasi za kazi,basi siku moja alipata maombi 500.