Taratibu Watanzania "Tunanyooka"

Ben Saanane, alipohoji elimu juu ya elimu ya mtu fulani akapotezwa kijana wa watu, alikuwa bado mdogo sana, mwenye ndoto lukuki na nia ya dhati ya kuijenga nchi yake. Inasikitisha sana.
Mjumbe wa KK na NEC ya Chadema alituambia anajua Ben Saa8 aliko na atsibuka miss ukifika haijawahi kukanushwa popote na Chama chenu hivyo acha upotoshaji.
 
Hv jaman nyinyi watu mbona mnapenda sana poroja? Simliambiwa muandamane na yule kiongozi wenu wa usa mange ili mumtoe madarakani huyo muuaji na dikteta, kama kweli mnakiu ya haki na mmemchoka kiasi hicho kiliwashinda nini? Achaneni na excuse za kusema eti mliogopa police nchi za wenzenu huko kongo na kwingineko hawajaligi hayo wanaingia tu barabarani liwalo na liwe alimradi lao limetia lakin nyinyi wanaume wa dar khaaaa wote cku hiyo mlijifungia ndani mnachungulia dirishani hata dukani tu mlishindwa kwenda kila mmoja anamtegemea mwenzie the only thing mnaweza ni kujificha nyuma ya keyboard using fake names kuleta porojo, mnazani hizi porojo zenu zitaleta mabadililo? Mtabakia kusema iko siku iko siku mwenzenu anamaliza miaka 10 yake anampisha mwingine nyie mnasubiria Mungu awafanyie muujiza huku mkiwa nyuma ya computer. MSITUCHOSHE BWANA kama nyinyi wakereketwa kweli KINUKISHENI TU OTHERWISE SHUUUUUT UP
 
Mkoloni mweusi
 
Mjumbe wa KK na NEC ya Chadema alituambia anajua Ben Saa8 aliko na atsibuka miss ukifika haijawahi kukanushwa popote na Chama chenu hivyo acha upotoshaji.
Acha kuleta Siasa kwenye suala la uhai wa mtu, angekuwa ndugu yako nina hakika usingeandika ulichoandika.
 
Sawa...
If it doesn't make money it doesn't make sense
 
Samahani mleta mada Uzi ni mrefu sana nimeamua kukimbilia kwenye comments nazo nashangaa hazipo ngoja nitoke nitarudi kuusoma vizuri
Njia mojawapo ya kusoma nyuzi ndefu...! Ni kusoma aya ya kwanza yote...aya zinazofuata unasoma sentensi ya kwanza tu...na aya ya mwisho unasoma yote. Hapo utakuwa umepata picha nini anaeleza mleta mada. Ukitaka pia kujua undani kiasi juu ya mada hiyo soma rudia kusoma zilie aya zinazofuata baada ya kwanza kwa kusoma sentensi ya kwanza na ya mwisho ya hizo haya. Kama mada inamvuto...utaisoma yote bila kuichoka.

Hata hivyo...njia hii, inatumika sana endampo mleta mada atakuwa amefuata mtindo wa uandishi unaoelekeza kuwa na kipengele kimoja cha hoja kwa kila aya na vipengele hivyo vimefuatana kwa mpangilio unaofaa.
 
Sawa...
If it doesn't make money it doesn't make sense
Hayo ni mawazo ya hatari sana. Kuna wanasayansi wengi ambao wamefariki au kujeruhiwa kutokana na kazi zao za utafiti, ambazo zimewezesha dunia imepiga hatua kubwa. sasa kama wangefuata usemi wako, dunia isingepiga hatua za leo. kuna wachache waliotajirika kwa ugunduzi wao, lakini wengi wamepata hasara.
 
Kama haya tunayoandika hapa yangekuwa porojo tu, sidhani kama Magufuli angelalama siku ile kwamba ANAOMBA MALAIKA AFUNGIE MITANDAO ANGALAU KWA MIAKA MITATU TU. Kikwete hakuhangaika na wanaomkosoa, lakini ndio kipindi ambacho Upinzani ulijiimarisha zaidi. Bunge live, Vyombo vya habari viko huru kwa kiasi fulani. wapinzani walionesha umahiri wao, Walipiga Operesheni kadhaa: Sangara, M4C, nk. watanzania wakawasikia na kuwaelewa na kuwaongezea wabunge na kura za urais, na ndio maana awamu hii ya Magufuli ilipata asilimia chache sana katika uchaguzi wa Rais. sasa CCM inawauma ndio maana wamefunga Bunge live, wanazuia shughuli za siasa, hakuna opresheni tena, hata vikao vya ndani wanazuia. Jamani, hata misiba ya wapinzani inapigwa mabomu!!! siyo paniki hiyo. na ndio maana Magufuli anahofia sana uchaguzi ulio huru. lazima utasikia figisu kibao. mawakala watacheleweshwa kuingia kwenye vituo ili mchomekee kura feki. wezi wakubwa nyie. Mungu anawaona.
 
Ushuzi plus
 
Ben Saanane, alipohoji elimu juu ya elimu ya mtu fulani akapotezwa kijana wa watu, alikuwa bado mdogo sana, mwenye ndoto lukuki na nia ya dhati ya kuijenga nchi yake. Inasikitisha sana.
How sure are you kama alipotezwa? Na pia how sure are you kama alikuwa na nia ya dhati ya kuijenga nchi yake? Imaginations zenu hizo jitahidini sana kudhidhibiti.
 
Umemuelewesha vyema lakini nahata hii comment yako sijui kama ataisoma
 
Limbukeni hajui zaidi ya Ben Saa nane. Atasubiri ujio wa Mungu feki hadi wajukuu , Fanya kazi na tii mamlaka iliyopo.
 
Limbukeni hajui zaidi ya Ben Saa nane. Atasubiri ujio wa Mungu feki hadi wajukuu , Fanya kazi na tii mamlaka iliyopo.
Unafurahia eee? Historia inatabia ya kujirejea wacha kushangiria hata visivyo stahiki mamlaka zinaeekwa na watu hvyo hizo mamlaka zinatakiwa kuheshimu wale waliowaweka hapo
 
Ushuzi plus
Hujapotea njia? hapa ni uwanja wa Great Thinkers. unatakiwa kujenga hoja ili msomaji ahitimishe kwamba kweli nimeandika ushuzi. lakini kwa ulivyoandika, wewe ndio huo ushuzi.
 
How sure are you kama alipotezwa? Na pia how sure are you kama alikuwa na nia ya dhati ya kuijenga nchi yake? Imaginations zenu hizo jitahidini sana kudhidhibiti.
kuna ushahidi unaitwa CIRCUMSTANCIAL EVIDENCE. ushahidi wa kimazingira. kwa mfano, wote ambao wanamkosoa MAGUFULI, wanaishia pabaya. wanapotea, wanashambuliwa kwa njia mbalimbali, hata risasi. sasa haya kweli hatujui wanaofanya, lakini mbona kila mtu anayeihoji serikali, anahojiwa uraia wake? hapo kuna trend. serikali hii inayohoji uraia wa mtu anayeisumbua, na ikiwa inayo haya mabavu yake, itashindwa kuyatumia dhidi ya hao raia? lakini tuhuma zinapotolewa, inabidi zijibiwe kwa maelezo yanayojitosheleza. serikali yetu huwa haina kawaida hiyo. na kama kweli serikali ingejua haihusiki, iweje wanakataa kuruhusu independent investigators waje kupeleleza? wanajidai tu UWEZO TUNAO, mbona iko kimya kabisa? si kwamba tuna ushahidi kamili, lakini kuna harufu ya samaki waliooza, ukimwambia jamaa umsachi anakataa. panapovuka moshi panaficha moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…