Tar 29 simba na Azam- Taifa tar 30 Yanga na Mbao Mwanza

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,281
6,696
Hii ni kufuatia droo iliyochezeshwa kwa uwazi kabisa na waendeshaji
wa mashindano ya ASFC.
 
Hii ni kufuatia droo iliyochezeshwa kwa uwazi kabisa na waendeshaji
wa mashindano ya ASFC. Hivyo Tar 29 Apr itakuwa ni fainali ya kwanza
JiJini Dar es salaam na Tar 30 itakuwa ni nusu fainali ya pili jijini Mwanza
 
Kama ingekua halali ingezikutanisha timu za kariakoo zenyewe waswahili wanajuana wenyewe hili la vikindu na makoroboi I'm still doubting about the droo.
 
Tunaandamana kwa nini yanga apangwe na mbao ss tulitaka tucheze nao tena tuwafunge tuingie fainari, TFF wanatuonea sana!
 
Yap mpango umetimia
Yanga fc atashiriki klabu bingwa Afrika kwa tiketi ya kutwaa Ligi kuu
Simba sc vs azam fc hapa azam fc anashindwa ivyo fainali ni Azam fc vs Yanga fc
 
Nilijua tu,toka jana niliwaambia watu Yanga hawezi kutanishwa na simba kwa vyovyote vile maana kichapo angechezea. Hiyo ilikuwa inajulikana tu, kuwa vyura wataogelea ziwa victoria.
 
Nilijua tu,toka jana niliwaambia watu Yanga hawezi kutanishwa na simba kwa vyovyote vile maana kichapo angechezea. Hiyo ilikuwa inajulikana tu, kuwa vyura wataogelea ziwa victoria.
Mmezoea kulialia Kama mwanamke wa pwani, duuuh!
 
Tunaandamana kwa nini yanga apangwe na mbao ss tulitaka tucheze nao tena tuwafunge tuingie fainari, TFF wanatuonea sana!
Mpira umewashinde undeni kikosi maalum cha maandamano na kuomba tenda ya kuandamana kwenye sherehe za kiserikali
 
Back
Top Bottom