Tapeli ni tapeli hilo halina mjadala.
Tapeli huwa haangalii sehemu yeye popote anapita.
Ni vyema kijilinda dhidi yake wala kutosikiliza maneno yake matamu yenye kushawishi kwani mwishowe atakuingiza kingi.
Hawa huumbuka wakibambwa hadharani.