"Kutoka BAKITA"? Nionyeshe chanzo, sema BAKITA wamekwambia hicho kitu katika documentation kadha wa kadha, au toa tamko kwamba wewe ni Katibu Mwenezi wa BAKITA hivyo wewe ndio chanzo.
Siwezi nikadaiwa attribution sehemu halafu nikasema namnukuu bwana mmoja au sijui bibi mmoja yuko Jamii Forum anaitwa Uwiano Maalum kasema BAKITA wamesema, unless wewe ni Katibu Mwenezi wa BAKITA.
Wewe ni Katibu wa kueneza taarifa za BAKITA? Mmetoa documentation yeyote?