Tanzia: Aliyekuwa Rais wa Misri, Mohamedi Morsi amefariki dunia akiwa Mahakamani

Tunataka ulete ushahidi maana hata Madiba aliitwa gaidi pasi na evidence km kweli unajielewa ww ndie unaetakiwa uisadikishe kauli yako ya kumezeshwa kwa proof
Mimi nimesema Mursi alikuwa kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha Muslim Brotherhood. Sasa wewe unayepinga lete ushahidi unaopinga ukweli huu. Mimi ninayekupa ushahidi kuntu na wewe unayepinga bila ushahidi nani KONDOO?
 
Kiongozi wa Muslim brotherhood sio Mursi bali ni Mohammed Badie .

Check your sources mwana kondoo .
 
Aliesema Muslim brotherhood ni kundi la magaidi ni bwana wenu Trumph na hakuna ushahidi wowote alitoa popote pale.
Sasa wewe kwa sababu ume quote maneno ya mpumbavu asie na ushahidi umeombwa kuleta ushahidi.
Umeombwa ushahidi wa kauli yako sio kelele.
Huyo jamaa km vile Napoleone ambae alinijibu eti Gaddafi alistahili kuuliwa kwasababu ni dikteta.
Yan wanaropoka tyu wajisikiavyo
 
Wanakondoo kuropoka ni moja ya ibada kwao.
Hata kwenye ibada zao utaskia maneno ambayo hayana asli ya lugha yyt Duniani.
Mara utaskia " yango kosakapaaa...kwela kosakapaaaaa.
"hasshala magelapolokosho hakala pashala mbagala "....
Kama anataja mbagala RANGI tatu kumbe mwenzetu yuko kwenye ibada ya kuponya kondoo.
Yaani balaa.

Mfano huyu kiongozi wao hapa.
Msikilize kuanzia dakika ya 5:21 utacheka vibaya sana.

Hii ni acting tuu mtu hawez fufua mwenzake.
Basi watu tusingekuwa na marehem kabbisa
Wanakondoo kuropoka ni moja ya ibada kwao.
Hata kwenye ibada zao utaskia maneno ambayo hayana asli ya lugha yyt Duniani.
Mara utaskia " yango kosakapaaa...kwela kosakapaaaaa.
"hasshala magelapolokosho hakala pashala mbagala "....
Kama anataja mbagala RANGI tatu kumbe mwenzetu yuko kwenye ibada ya kuponya kondoo.
Yaani balaa.

Mfano huyu kiongozi wao hapa.
Msikilize kuanzia dakika ya 5:21 utacheka vibaya sana.

Asee huku kuongopeana basi watu wangekuwa wanapeleka ndugu zao waliokufa wafufuliwe.
Na mbona wanabaki kusema "bwana ametoa na bwana ametwaa" au huyu hakutwaliwa na Yesu?!
Totally acting aliyekufa macho hayajifinyi km huyu dogo.
Daah zile lugha hazieleweki ni kiebrani ama kizayuni?!
Eti mkuu
Wanakondoo kuropoka ni moja ya ibada kwao.
Hata kwenye ibada zao utaskia maneno ambayo hayana asli ya lugha yyt Duniani.
Mara utaskia " yango kosakapaaa...kwela kosakapaaaaa.
"hasshala magelapolokosho hakala pashala mbagala "....
Kama anataja mbagala RANGI tatu kumbe mwenzetu yuko kwenye ibada ya kuponya kondoo.
Yaani balaa.

Mfano huyu kiongozi wao hapa.
Msikilize kuanzia dakika ya 5:21 utacheka vibaya sana.

Morsi aliingia madarakani kwa kura halali za wanachi wa Misri na akapinduliwa na Jeshi, unaposema kapata alichokua anakitafuta una maanisha nini.?. Mnatumiaga nini kufikiria.?
Hizo ni chuki binafsi na kuonyesha uwezo wako katika kufikiri,Apumzike kwa Amani Mohamed Mosri.
 
Back
Top Bottom