Eliakim Mollel
Member
- Nov 16, 2011
- 9
- 2
tunaibiwa sisi wananchi. viongozi wanapeleka vijisenti vyao njewalianza kama Summax,wakabadili wakajiita Afgem,sasaivi Tanzanite One........Reachland Resources teeenaaa...!!!!!!!this is a serious issue,hawa majamaa wanapata hela nyingi sana,serikali yetu inapewa mahesabu ya Tanzanite tu ambayo imechimbwa,ila kuna other more expensive minerals zinazopatikana Mererani kama red ruby na green garnet....ambazo ni kama 1.9M kwa gram...tutaibiwa hadi lini jamani,,,,inauma.
serikali imetangaza kuwatimua wawekezaji wa Tanzanite one iwapo watashindwa kulipa deni la zaidi ya shilingi dola za kimarekami milioni 2.2; katibu mkuu wizara ya nishati ametangaza
Imetokana na kampuni kukwepa kulipa mrahaba wa bilioni 3.4 toka mwaka 2004-2008