fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,655
- 7,254
Sikieni ufanyieni matengenezo uwanja wenu,hasa kwenye pitch kuna mapengo ya nyasi,msisubiri mpaka uharibike kabisa
Sikieni ufanyieni matengenezo uwanja wenu,hasa kwenye pitch kuna mapengo ya nyasi,msisubiri mpaka uharibike kabisa
Wamepata pesa za viingilio na pia wanaweza kusaidiwa na tff maana hata hizo nyasi walipewa na tffTatizo pesa