Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
- Thread starter
-
- #61
Kwa sababu sisi ni intelligent people, intelligent people are always sad kwani wana uwezo wa kujua kinachoendelea Duniani hivyo huwanyima raha maishani na wengi hata hufa wapweke, ukiona mtu anacheka cheka hovyo hata kama hana kazi, chakula cha kutosha, makazi duni , hiv, global warming, hivi vyote havimsumbui ujue huyo ni low IQ guy!
Sasa angalia kwa mfano Raila Odinga kafanya watu wamejitolea kwa ajili yake wengine wamekufa na kulemaa kwa ajili yake leo hii anakwenda kukutana na Raisi Uhuru Kenyata na kucheka cheka na kuwasahau wote waliojitolea kwa ajili yake, lkn bado wanacheka cheka tu na next time akiwahitaji atawarudia tena na kuanza kuwapiga blah blah ili wachukuwe risasi kwa ajili yake, na kuanza kuimba ,,hatutaki tear gas tunataka bomu" na bado mtu huyu bado ana furaha maishani, huyo retarded!
Hilo halina ubishi! Sera hasa za udikiteta zinakera kabisa.Naelewa hilo. Lakini ukweli ni kwamba watz wengi hawafurahishwi na sera fulani za rais aliyepo kwa sasa, imebainika hivo katika comments tumeona hapa na pia kwenye nyuzi nyingine nyingi.
Ni vitu viwili tofauti:kuwa na furaha kuna factor zake ambazo ni tofauti kabisa na kujiua,mfano,kwa upande wa kujiua,unaweza ukawa na furaha ila ukafsnya od,au anomie which inapalekea mtu kujiua,ambayo inapandisha level ya watu wanaojiua mkuuFafanua mkuu, utofauti uliopo.
Theres nothing like denials.. Tanzania tunapiga hatua kwa kasi na majirani + wazungu hawapendi hilo, tumewanyanganya migodi, tumewabana vilivyoo unafkiri watapenda??, Aliyeandika hiyo stori atakua na madhumuni yake, ameiacha wapi Syria, Congo, South Sudan, Sierra lione, Kenya???Tanzania imetajwa kwa least happy, ukizingatia hamjawahi kupigana, aisei hayo ni majanga inabidi muache hizi denials maana ndio zinawatafuna. Wengi hamuna furaha na, mumeishia kuvisema kwenye mitandao lakini huko nje hamdiriki maana mnaogopa hao wasiojulikana.
Naelewa hilo. Lakini ukweli ni kwamba watz wengi hawafurahishwi na sera fulani za rais aliyepo kwa sasa, imebainika hivo katika comments tumeona hapa na pia kwenye nyuzi nyingine nyingi.
Kabisaaa. Kuna mambo fulani hawa viongozi wetu hutenda jamani...Hilo halina ubishi! Sera hasa za udikiteta zinakera kabisa.
Ila hata hapo kwenu kuna baadhi ya sera za rais wenu hamzipendi, si ndio?
Mhhh ndugu inamaana tunamzidi hadi Congo, south Sudan Syria, Afghanistan na kwingineko? Sikatai kama furaha imepungua ila sio kuzidi hizo nchi nyingine.. Hii ripoti ni ya maslahi ya watu Fulani..Hiyo report iko true 100% TZ hakuna furaha tena. Msione tunakuja humu ndani tuki battle lakini ukweli mambo ni mabaya. Uhuru TZ hakuna tena, waandishi wahabari wanakimbia nchi, wengine wanapewa copper unategemea furaha? Mimi sio nabii lakini naweza sema kunaanguko kubwa lakiuchumi litatokea TZ
And is a dictatorship is the way to go? Na sikubaliani na wewe ya kwamba Tz imewahi kuwa na uhuru wa kweli.Wanachosahau watu ni KUWA JPM ni mtu na anamapungufu, lkn tunapaswa tukubaliane ili twende MBELE. Uhuru unaosemwa hapa tulikuwa nao since 1985 lkn haukutusaidia, let's try something different.
Wanachosahau watu ni KUWA JPM ni mtu na anamapungufu, lkn tunapaswa tukubaliane ili twende MBELE. Uhuru unaosemwa hapa tulikuwa nao since 1985 lkn haukutusaidia, let's try something different.
Tanzanians are as intelligent as all the other people in the world!!!Kwa nini? Kwani sisi siyo intelligent?
Inamaana huoni Tz inapanda kiuchumi,Kila siku wimbo wa tuna tuna tuna tuta tuta tuta...
kwa mwendo wa konokono lakini mtafika tu.Inamaana huoni Tz inapanda kiuchumi,
Ni vitu viwili tofauti:kuwa na furaha kuna factor zake ambazo ni tofauti kabisa na kujiua,mfano,kwa upande wa kujiua,unaweza ukawa na furaha ila ukafsnya od,au anomie which inapalekea mtu kujiua,ambayo inapandisha level ya watu wanaojiua mkuu
There is no way to depict the general mood of an entire nation(50 million+), after all its easy to know who is popular than knowing who is happy/sadIf u had bothered to click that link you wouldnt have had to ask this. How are are pollsters for example able to assess quite accurately the popularity of candidates in a forthcoming elections?
The general mood in a country regarding any issue can be assessed in the similar manner.
And is a dictatorship is the way to go? Na sikubaliani na wewe ya kwamba Tz imewahi kuwa na uhuru wa kweli.
Kabisaaa. Kuna mambo fulani hawa viongozi wetu hutenda jamani...
Lakini kinyume na watz, wakenya hawachelei kuonyesha kukerwa kwao kwa njia lolote lile, hata kama ni kuanzisha vurugu mitaani na kupambana na majeshi ya serikali. Hatutishiki kamwe.
Watz wao huchagua kuvumilia dhulma na kutishika kwa urahisi.
So is dictatorship the way to go really?
Kinachowasibu Watanzania ni unafiki wao, nawajua sana hawa, wanapenda kumeza kila kitu na kusifia sifia na kushobokea lakini moyoni wanaumia balaa. Mtanzania hata umfanyie mabaya gani, atakenua meno na kukusifia tu, japo kimya kimya anaumia na chuki za kufa mtu, akipata fursa ya kukusema wakati haupo, atatiririka machungu yote.
Kingine, Mtanzania ni mtu mwenye asili ya uwoga, ni vigumu sana ayatoe yaliyo moyoni kwa kuogopa usimchukie. Tofauti na ilivyo Kenya ambapo tunaambizana ukweli, umeze au uteme lakini nakupa ya moyoni live ili yaniondoke, sasa Mtanzania atatunza chuki ndani, atayabeba mengi tu. Nenda kwenye JF upande wa siasa, jamaa huwa wanatiririka yote, lakini siku mmiliki wa JF alipelekwa mahakamani kwamba aweke bayana majina ya wachangiaji, jamaa walihaha balaa.
Leo hii wanamsema sana rais wao, lakini thubutu kuwaambia waiseme hadharani....utabaki mwenyewe maana wanatoweka wote. Sasa Magufuli naye alivyo mbabe, kila akipata fursa ya kusema, anatokwa na mikwara tu na vijembe kila siku, anaonekana mwenye visasi na hasira fulani isiyoeleweka chanzo chake, ukimskliza halafu ulinganishe na maisha wanayopitia Watanzania wa kawaida kwenye mateso ya umaskini, hadi unawahurumia. Maana rais anafaa kuwa mwenye kutoa kauli za matumaini, hata kama maisha magumu, lakini inafaa ukimskliza kwenye runinga unapata faraja, alkini sio full vitisho na kufoka foka.
Juzi nilimsikia anasema kuna nchi imechukua mkopo wa Mchina kujenga reli ya ovyo, hapo najua alikua anamlenga Uhuru, sasa nawaza imagine rais Uhuru akiongea kitu kama hicho, hawezi kabisa kujishusha kwenye level kama hiyo, maana hayo ni maongezi ya vijana vijana wa Mazense hutegemei kuyaskia kutoka kwa rais.
Nimeona kule kwenye jukwaa la siasa wanajitutumua kwamba watafanya maanadamano ifikapo tarehe 26, niwajuavyo hawa, hakuna atakayethubutu hata kuandamana ndani ya nyumba yake. Kwanza rais wao ametoa mikwara kwamba wathubutu tu, yaani wamjaribu.
Huo ni uongo mkubwa SANA. The happiest countries are also leading in suicide rate. Ulaya yote na marekani wana stress za ajabu, kuna siku nimeshuhudia mwanamke akijirusha kwenye reli ya subway.
http://worldpopulationreview.com/countries/suicide-rate-by-country/