Sasa umeamua kutoa povu. Nimekuuliza Swali rahisi Sana... Unaweza kudhibitisha kwamba Watanzania wanaishi maisha bora kuliko wakenya? Kama huwezi leta dhibitisho, afadhali unyamaza tu. Huo ndio mtindo hapa jf, ukileta madai lazima udhibitishe kutumia links
Mnajifanya wajuaji lakini Hakuna mnachojua.Asee hii ndio shida yenu wakenya Umeshinda mama maana
Somalia hii tenaAsee hii ndio shida yenu wakenya Umeshinda mama maana
Poverty line percentage in danganyika umesema ni ngapi 😂 😂 😂 👇 👇 👇 👇Kwa uthibitisho ni kuangalia percentage ya below poverty line kenya ni 43 % tz ni 26.8 % na kenya kuna wimbi kubwa la wasioajiriwa kuliko tz.na uthibitisho mwingine ni kutokuwalipa vzur wafanyakaz wa umma hususan madaktar.ilhal tz madkatar waliongezewa mshahara toka 2016 na magu na hukuwahi sikia toka magu aingie kwamba wafanyakaz wa umma wamegoma km kenya.
Hapo nimetoa relevance nzuri sana na real life yenu pinga sasa
World Bank puts Kenya's figure at 35%Kwa uthibitisho ni kuangalia percentage ya below poverty line kenya ni 43 % tz ni 26.8 % na kenya kuna wimbi kubwa la wasioajiriwa kuliko tz.na uthibitisho mwingine ni kutokuwalipa vzur wafanyakaz wa umma hususan madaktar.ilhal tz madkatar waliongezewa mshahara toka 2016 na magu na hukuwahi sikia toka magu aingie kwamba wafanyakaz wa umma wamegoma km kenya.
Hapo nimetoa relevance nzuri sana na real life yenu pinga sasa
Poverty line percentage in danganyika umesema ni ngapi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
numbers don't lie and the internet never forget. You are at 67.9%. Enda udanganye watoto wa chekechea
10 Alarming Facts About Poverty in Tanzania | The Borgen Project
Although Tanzania is rich in natural resources, poverty in Tanzania persists, 67.9 percent of the population lives below the poverty line. The Borgen Project tackles top global poverty data to present the 10 most important facts about poverty in Tanzania.borgenproject.org
Poverty line percentage in danganyika umesema ni ngapi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
numbers don't lie and the internet never forget. You are at 67.9%. Enda udanganye watoto wa chekechea
10 Alarming Facts About Poverty in Tanzania | The Borgen Project
Although Tanzania is rich in natural resources, poverty in Tanzania persists, 67.9 percent of the population lives below the poverty line. The Borgen Project tackles top global poverty data to present the 10 most important facts about poverty in Tanzania.borgenproject.org
World Bank puts Kenya's figure at 35%
Wewe hiyo yako ya 43% ulitoa Mwananyamala kwa kopa ama?Poverty Incidence in Kenya Declined Significantly, but Unlikely to be Eradicated by 2030
A new World Bank economic analysis shows that Kenya’s poverty incidence is among the lowest in East Africa.www.worldbank.org
World Bank puts Kenya's figure at 35%
Wewe hiyo yako ya 43% ulitoa Mwananyamala kwa kopa ama?Poverty Incidence in Kenya Declined Significantly, but Unlikely to be Eradicated by 2030
A new World Bank economic analysis shows that Kenya’s poverty incidence is among the lowest in East Africa.www.worldbank.org
Hii inajengwa wapi?View attachment 1117563
Proposed residential high-rise in Nairobi Kenya
Hapana wivu boss !! Ixo estate zipo vizuri lkn tambua hata bongo zipo estate kaliii sanaa ila usitegemee mtz akakutumia picha za estate ambazo yy haishi humo ....... Unless uje mwenyewe ijionee ila tambua tu estate zipo kaliiiii kibao tuwivu mbaya
I believe it is KilimaniHii inajengwa wapi?
Chapati na Ugali ni staple food Kenya. Na tena sh. 50 sio bei ya chapati. Chapati ni sh.10 Kenya. Kazi ndogo ndogo Kenya hulipa ksh.1000 kwa siku. Hata wale unaita maskini hutengeneza pesa mingi kuliko mtanzania wakawaida kwa siku ju kwa slums wao hulipa rent na inafaa kuwa ksh.3000 kwa mwezi. Watoto wao lazima waende Shule ju masomo Ni lazima Kenya. Hapo wanatumia 10k and above. In short....Kenya is a middle income country and way richer than Tz, it is only in Kenya where you find mtu anauza maindi Choma na anaendesha V8.You just can't compare a hustling nation with a lazy village nation.Kenya bwana....chapati kwao ni bidhaa ya anasa. Inauzwa sh. 50,
Kuna Mkenya akija huku hununua mchele mwingi anaondoka nao au anatuma kwa bus ya Dar Lux kwenda kwao.
Kenya maisha ni magumu sana.
Stop being a lier bro. Kazi gani Kenya inalipa 1k iliyo ndogo. Wakenya msingekuwa mnakimbilia TZ kufundisha shule za English Medium kwa mishahara ya 300,000 TZS. Huo uzwazwa. Mimi siwezi kwenda Kenya nikafanya kazi ya 1million TZS.Chapati na Ugali ni staple food Kenya. Na tena sh. 50 sio bei ya chapati. Chapati ni sh.10 Kenya. Kazi ndogo ndogo Kenya hulipa ksh.1000 kwa siku. Hata wale unaita maskini hutengeneza pesa mingi kuliko mtanzania wakawaida kwa siku ju kwa slums hulipa rent na inafaa kuwa ksh.3000 per month. Watoto wao lazima waende Shule just masomo Ni lazima Kenya. Hapo wanatumia 10k and above. In short....Kenya is a middle income country and way richer than Tz. Nairobi imejaa magari ju hata hao watu unaita maskini kwa slums humiliki magari. You just can't compare a hustling nation with a lazy village nation.
Kama haya ndio maisha mazuri TZ wacha nitulize tu kibera [emoji849][emoji90][emoji90][emoji86][emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116]Stop being a lier bro. Kazi gani Kenya inalipa 1k iliyo ndogo. Wakenya msingekuwa mnakimbilia TZ kufundisha shule za English Medium kwa mishahara ya 300,000 TZS. Huo uzwazwa. Mimi siwezi kwenda Kenya nikafanya kazi ya 1million TZS.
Kenya kuna tabala la watu wachache sana wenye hela. Mtu anashindia githeri kwenye slums eti amiliki gari...loh. Rent ni 3000 hii hapa Tz ni zaidi ya elfu 60 napata chumba en suite modern kabisa maeneo potential ya mji. Kenya maisha ni magumu honestly. Jamaa alikuja kwangu Kibada nikamwambia hapa nalipa 300,000 TZS rent akashangaa. Anasema nyumba kama ile kenya ni 1mil TZS rent yake per month. Kenya maisha ni magumu.Uzuri wa Tz unaweza kuearn kidogo na ukaishi standard life. The case is different with Kenya.
Eti Kenya imejaa magari. Unachekesha wewe. Kenya kumiliki gari is very expensive....very expensive. Been to Nairobi several times na yule Mkenya rafiki yangu na ni manager pale Equity makao makuu anasema kila mara huku TZ gari mpya huuzwa cheap kuliko Ke.
Don't fool yourself. Wakenya mna shida.
its more safe
ummayed...eti unasema wafanyikazi wa serikali tanzania wanalipwa vizuri kuliko kenya....bwahahaaa..kisha eti ukawataja madaktari...yani kwanza kw madaktari usiguse...