Eh eh eh OUT wanajitaidi sio uchawi! Ni kati ya sehemu chache duniani elimu inakotolewa fairly!! Hakuna cha lecturer kaninyima maksi coz ananitaka!! Ni mwendo wa kufanya mtihani wa mtunzi usiyemjua na mwanafunzi asiyemjua mwalimu! Ni really knowledge!! Hapo nawasifu!!Hongereni OUT kwa kweli mmejitahidi pia natambua pia mna campus Kenya (Through Egerton University). tatizo kubwa hamjitangazi mnafanya kimya kimya kama vile mnafundisha UCHAWI.
Eh eh eh OUT wanajitaidi sio uchawi! Ni kati ya sehemu chache duniani elimu inakotolewa fairly!! Hakuna cha lecturer kaninyima maksi coz ananitaka!! Ni mwendo wa kufanya mtihani wa mtunzi usiyemjua na mwanafunzi asiyemjua mwalimu! Ni really knowledge!! Hapo nawasifu!!
Kusoma OUT nikupoteza muda wako,labda utake kuwa na vyeti tu na sio maarifa.
Wivu unakusumbua tu.
OUT!
Yaani nimuonee wivu mtu wa OUT?!! You can't be serious....
OUT!
Yaani nimuonee wivu mtu wa OUT?!! You can't be serious....
Kusoma OUT nikupoteza muda wako,labda utake kuwa na vyeti tu na sio maarifa.
Kusoma OUT nikupoteza muda wako,labda utake kuwa na vyeti tu na sio maarifa.
Angalia interahamwe lilivyojaa chuki,anything positive btn Rwanda and TZ tunajua kwenu ni msiba mkubwa sana,wenzako wamekimbia humu umebaki na yule punguani kibao kata asiyeweza hata kuandika sentensi kamili inayoeleweka.watu mpaka vyuo hawana tunawasadia halafu kelele nyiiiiingi. cc: JustDoItNow
watu mpaka vyuo hawana tunawasadia halafu kelele nyiiiiingi. cc: JustDoItNow
kwa mbwembwe za Rwanda tulitegemea chuo chao kiwe na matawi kwenye nchi zetu za "kinterahamwe", badala yake "mainterahamwe" ndio tunafungua vyuo kigali kuwafundisha....
Kusoma OUT nikupoteza muda wako,labda utake kuwa na vyeti tu na sio maarifa.
Kama kawaida unatafuta sapoti... Interahamwe ni wewe na siwengine, hao walioanzisha tawi la OUT ni wenzetu.kwa mbwembwe za Rwanda tulitegemea chuo chao kiwe na matawi kwenye nchi zetu za "kinterahamwe", badala yake "mainterahamwe" ndio tunafungua vyuo kigali kuwafundisha....