Tanzanian superstar begs for "sexual satisfaction"


hahaha nimechekaje.yaani leo kila comment ninazozisoma hum zinanichekesha sana
 
Kadoda huyo, hata baada ya tangaza, she spent the night alone.
 
watoto wadogo wamekomaa mwili khaa!mungu tunusuru
 
Tanzania kuna msanii kama huyu? Embu nitajien wimbo wake hata mmoja
 
:bange: "bangi" kitu hii inaweza kukufanya ghafla ukajiona millionea
 
chezea recho....

Kumbe ni huyu? Huo u-SUPERSTAR ameupata lini? Hivi hata vile vi-tuzo uchwara vya kilimanjaro ameshawahi kupata?

Mbona watu wanalitumia vibaya neno superstar jamani? Yaani hawa machokoraa waliookotwa na clouds fm na kulrlewa kituo cha watoto wenye maisha magumu THT leo wanaitwa SUPERSTAR? Hebu acheni utani jamani.
 
hivi 'sexual satisfaction' maana yake ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…