Kadude gani we bujibuji 😂😂Da Julie hongera sana, lm so proud of you. Safi sana dada yangu.
Let us lead the way. Tutaonana October na mi nikiwa napokea kale kadude kangu
Dr. Nilikuwa napokea kipaimaraKadude gani we bujibuji 😂😂
Mbona tupo mkuuNdio mara kwanza kusikia Tanzania kuna scientists.
Wa kuunga unga mpo wengi sana, mchango wenu duniani ni almost negligibleMbona tupo mkuu
Wapo
Wa kuunga unga mpo wengi sana, mchango wenu duniani ni almost negligible
I hear you
Nisiongee zaidi lakini inapaswa ujue si kila mtanzania Ni mtanzania mkuu