Tanzanian politics: Mbona dunia itafurahi, yaani team 6 ya ipo field na all enemies

Umepanick?CCM mbele kwa mbele...tumewapiga kwenye mitaa,tunawapiga ubunge na tunawapiga urais.Mpaka mwezi wa 9 unaisha hakutakuwa na Lowassa wala Sumaye,hao mafisadi wenu mtaishia kuwaona kinyesi na mtaishia kujuta tu kuwa heri tungeenda ba Dr Slaa.Lowassa hana usafi wa kuisema CCM lolote na kinyume chake yeye ndio ule uchafu uliokuwa CCM.Sasa wote hap mahakama ya ufisadi inawahusu.

Dr. Magufuli yuko CCM na anaisema vibaya serikali ya ccm imeua reli, viwanda,shule, hospitali hazina dawa.

Kinana alizunguka nchi nzima akiisema serikali ya chama chake. Sumaye na Lowassa wao watashindwaje kuisema?
 
Kwa wale wazee wa photoshop mtusaidie hiyo picha kushoto mbona kama ya kuchakachua?!...
 
Picha za kuungaunga na computer jk alisema. Vipi leo zimeungwa?
kajiloga leo na wote wamesifu..sasa sijui km wanahitaji jiliza tena Mji ukisimama....wasiasahau kuwaambia akina kova, meck saddick na wajinga wengine...si inafurahisha hata kwao.Watalia kwanini hawakuruhusu uwanja..wenzao wakipoga ktk juctiona ya barabara mji ukismama shauri lao.
 
Tanzania ikiondokana na ccm itabadilika na kuwa nchi bora sana..embi angalia uzinduzi wa kampeni huwezi sikia chochote kuhusu
uchumi
elimu
miundombinu
ulinzi
husikii haya, watu wamechoka, mizee imechoka inatukana kama mitoto
Khaa!! Kwa post kama hii ndiyo maanamnaitwa
Wapumbavu
 
11898749_679123862189470_8944490428627987613_n.jpg

Kwa kweli fiesta la jana lilikuwa noma Al kiba alimpoteza kabisa Diamondi, ila mwanaFA naye ni kiboko yule jamaa ni mfalme wa Hip hop, Kwa TOT nao walitoa burudani ya kufa mtu, aliyekosa Bonanza la jana asahau maishani mwake kuja kushuhudia tamasha la bure kama hili.
 
Umepanick?CCM mbele kwa mbele...tumewapiga kwenye mitaa,tunawapiga ubunge na tunawapiga urais.Mpaka mwezi wa 9 unaisha hakutakuwa na Lowassa wala Sumaye,hao mafisadi wenu mtaishia kuwaona kinyesi na mtaishia kujuta tu kuwa heri tungeenda ba Dr Slaa.Lowassa hana usafi wa kuisema CCM lolote na kinyume chake yeye ndio ule uchafu uliokuwa CCM.Sasa wote hap mahakama ya ufisadi inawahusu.

Maavi! Ccm kuna msafi?.kweli wewe ni kiongozi wa mamburura, hata huyo mlomsimamisha una uhakika ni msafi? Hiyo mahakama c itamuhusu hadi mtu mzma ovyo alietoa povu Jana huku anatetemeka na itamuhusu na mwenyekiti wenu na familia yake, we unadhani ni rahisi kama walivyoropoka Jana?
 
Dr Slaa wa nini ..sasa hivi kale haoney moon ...mama wa kihaya kapewa sijui nani kamuwekea mwingine usiku?Dr. Au mama wa Kihaya?Mama w akihaya kajifunga kamba hawezi tena kwenda haribu CDM..wala CCM hawawezi tena tumia propagana da Ukatoliki..sanasana wao ndio wana mkatoliki..Dr.S laa angekuw anacheza golf muda huu angeenda.

Hahahahahah Mkuu ktk vitu ambavyo nacheka ni jinsi Lowassa na Mbowe walivyogeuza game hapa ilipo wameacha watu wanakanyagana!!!

Wamechanganyikiwa si mchezo
... wanatukana wakaskazini Huku Mkapa kaoa mkaskazini!!! walitukana wakatoliki leo kwao kuna mkatoliki waliimba ufisadi leo akina Sumaye wamekuja waziba midomo....

Kila wimbo watakao imba akina Sumaye wataeleza consistently!!!

Daah game tamu sana!!!
 
Tanzania ikiondokana na ccm itabadilika na kuwa nchi bora sana..embi angalia uzinduzi wa kampeni huwezi sikia chochote kuhusu
uchumi
elimu
miundombinu
ulinzi
husikii haya, watu wamechoka, mizee imechoka inatukana kama mitoto
Wewe utakuwa shetani
 
Back
Top Bottom