Hawa madaktari watarudi 100 sitaki kuitwa nabii
Kiukweli napinga sana wao kwenda huko na mkiwaona huko waingilieni kinyume na maumbile waache unafiki watulie nchini kwao.Harudi hata mmoja, ukiangalia mshahara watalipwa zaidi ya hata madaktari wazoefu huko Tanzania, sasa warudi kwenye hayo mahangaiko ya kuishia kitaa tena??
acha maneno ya kiboya....Kiukweli napinga sana wao kwenda huko na mkiwaona huko waingilieni kinyume na maumbile waache unafiki watulie nchini kwao.
Kenya ina madaktari ambao hawajaajiriwa kwanini wasiajiriwe ? Mkiwaona huko Mombasa nyie waleni bila mboga.
Hili game nalifananisha na mwanamke anayenyanyaswa na mumewe mkoa Mzima unajua na juhudi za kuwasuluhisha zimeshindikana ingawa mwanamke bado anapenda kuendelea kuishi na watoto wake
Ila anatokea mwanamke toka mkoa wa jirani anaambiwa na baba yake mwanangu nenda kaishi naye wewe huyo mwanaume naamini wewe utamuweza na yeye bila kufikiri na kuchunguza kilichomshinda mwenzie anaenda tu kisa baba kasema.
Why huo mshahara mkubwa wasipewe hao madkatari wao waje wawape wetu.. What so special???
Sio kila jambo linafaa msemo huu-Kufa kufaana
safi xana...waje wanyoroshe vichwa ngumu kama oluga.MONDAY MARCH 20 2017
Tanzanian doctors will start working in Kenya in the first week of April, Health Cabinet Secretary Cleopa Mailu has said.
Dr Mailu on Monday said the medics would be given two-to-three year contracts, and would be posted to national, county and faith-based health facilities.
KNH VISIT
Speaking during an impromptu visit to the Kenyatta National Hospital in Nairobi, Dr Mailu said the recruitment of the 500 doctors was within the law.
He dismissed claims by the doctors union that there are 1,400 jobless Kenyan doctors, saying they are unemployed “by choice”.
Kenyan doctors, he said, get jobs in government upon completing their studies but some choose private practice, insinuating that all those who are jobless fall in this group.
Related Content
He said plans to hire specialist doctors from Cuba was under way to address Kenya’s poor doctor-to-patient ratio and burn-out due to long working hours.
The Kenya Medical Practitioners and Dentists Board says, currently, the doctor to patient ratio stands at 1 to 5,033 Kenyans, this is nearly nine times more than what is recommended by the World Health Organisation of one doctor to 600 patients.
Tanzanian doctors to arrive soon
Wapinzani wetu hao, wanajifanya wanahurumia watu wasiokuwa na ajira halafu wakipata dili wanaanza kupinga. Siasa inawatoa watu akili, hapo akiambiwa na Mbowe madaktari waende Kenya naye atakubali.Muda uliotumia kuandika maneno mengi haya ungetumia kusoma issue nzima na kuelewa kwamba madaktari kwetu Kenya wameongezwa mishahara tayari, pili hatuna madaktari kitaa wasiokua na ajira. Ukijiridhisha na hayo mambo mawili utawacha kukurupuka kwa kuandika riwaya.
Hili game nalifananisha na mwanamke anayenyanyaswa na mumewe mkoa Mzima unajua na juhudi za kuwasuluhisha zimeshindikana ingawa mwanamke bado anapenda kuendelea kuishi na watoto wake
Ila anatokea mwanamke toka mkoa wa jirani anaambiwa na baba yake mwanangu nenda kaishi naye wewe huyo mwanaume naamini wewe utamuweza na yeye bila kufikiri na kuchunguza kilichomshinda mwenzie anaenda tu kisa baba kasema.
Why huo mshahara mkubwa wasipewe hao madkatari wao waje wawape wetu.. What so special???
Sio kila jambo linafaa msemo huu-Kufa kufaana
Tukiwaazima hao madk je ikitokea madk wa kenya wamewadhuru madk wetu itakuwaje sirikalisafi xana...waje wanyoroshe vichwa ngumu kama oluga.
Tatizo halipo ila wakidhuliwa itakuwajeWapinzani wetu hao, wanajifanya wanahurumia watu wasiokuwa na ajira halafu wakipata dili wanaanza kupinga. Siasa inawatoa watu akili, hapo akiambiwa na Mbowe madaktari waende Kenya naye atakubali.
Kwa tz kuna mgomo ganiKuna Wakenya wengi wanafanya kazi Tanzania, wakijaribu kuwadhuru hao madaktari Watanzania huku kwetu hawatakuwa salama.
Tatizo halipo ila wakidhuliwa itakuwaje