trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
Nashukuru kwa mawazo hafifu, hivi watu wangapi wanawaponda wazazi wao na hawafi?...hebu acha hizo...
Usinikumbushe msiba wa mjomba wangu ulivyokuwa mbinde...
Alifariiki ghafla.. Kwenda kumpelekea taarifa za kifo cha mwanae.. Akasema hana mtoto mwenye jina hilo!
Ilikuja kukubalika baadaye kuwa atashiriki kwa mazishi baada ya watoto wake wengine kupiga magoti na kuomba msamaha kwa ajili ya ndugu yao..
Maana kwa mujibu wa yule mzee,yule,mwanae huyo alimkana live kwamba wewe si baba yangu kuanzia leo,na sitalitumia tena jina lako..!
Palikuwa hapatoshi!