Hivi hii nchi kila mtu akilala na kuamka anatunga lake mara kodi za simu, mara hili, mara sasa wameamua kupandisha kodi. Hivi wanategemea mkulima aishi vipi kwa kumuongezea kodi kila siku?
Angalia kwenye sekta ya madini, ni sawa nakusema yanachukuliwa buree tu! Hawa jamaa hawana lolote na wala sijui wanatupeleka wapi!
Watanzania wenzangu tuwe makini uchaguzi ujao.