Hii sio Tulawaka ambayo walinunua kutoka African Barrick?
ndo ukweli huo!!!Chimbo la makafara.
Chezea CCM wewe
Hatua hiyo imechukuliwa na serikali kama juhudi za kukabiliana na tatizo la ukosefu wa ajira miongoni mwa Watanzania.
Aidha waziri wa nishati na madini nchini humo Sospeter Muhongo amesema mgodi huo wa dhahabu wa Biharamulo utafuatiwa na mingine kadhaa itakayotowa pia nafasi za ajira kwa wazawa
Chini ya Uongozi wa S.Muhongo,Wizara ya NM inapiga hatua haraka haraka
haya sasa. profesa upoooo?? wenye nchi wameshtukia...Huo siyo mgodi mpya, ni ule ulewa Tulawaka ambao African Barrick Gold wamechimba dhahabu karibu yote, ndiyo Stamico wameachiwa mapango wakombeleze mabaki. Hahahahahaa... Watanzania fungu la kukosa!
Huo mgodi wa tulawaka umebaki makapi huyu mulongo aache uongo wke anachimba nini hapo
kama hujui kitu uliza, STAMICO hawachimbi pale Barrick alikuwa anachimba wameanza eneo linguine jipya kabisa
Chimbo la makafara.
Chezea CCM wewe
Ndo wenyewe,mzungu ameshindwa kuuendesha wabongo tutaweza kweli ngoja tujaribu.
Serikali ya Tanzania imezindua rasmi mgodi wake wa kwanza utakaowaajiri wafanyakazi wazawa tu kuanzia ngazi za uongozi hadi chini.
Hatua hiyo imechukuliwa na serikali kama juhudi za kukabiliana na tatizo la ukosefu wa ajira miongoni mwa Watanzania.
Aidha waziri wa nishati na madini nchini humo Sospeter Muhongo amesema mgodi huo wa dhahabu wa Biharamulo utafuatiwa na mingine kadhaa itakayotowa pia nafasi za ajira kwa wazawa ingawa amesisitiza Tanzania haina nia ya kuwafukuza wageni wanaosimamia migodi mingine ya nchi hiyo.
Saumu Mwasimba amezungumza nae mchana huu na kutupa maelezo kamili kuhusu mgodi huo na hatua hiyo ya serikali. Kuskiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=179342&d=1408691837[/JFMP3]
Chanzo: DW