Not this era of pombe magufuliMadini na gesi yenu huwa wanachuma bila kujali vya demokrasia wala nini.
Hiyo ni mikataba ishaingiwa kitambo enzi za jk, na hakuna kitu anaweza badilisha zaidi ya kucomplainLakini si huyo huyo Pombe ndiye alikua analalamika kwamba gesi inachumwa na mabepari na kwamba hamna uhuru wa kuitumia, rais hafai kulalamika ila kuchukua hatua, akilalamika sasa Mtanzania wa kitaani mtetezi wake nani.
Hiyo ni mikataba ishaingiwa kitambo enzi za jk, na hakuna kitu anaweza badilisha zaidi ya kucomplain
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, sasa kakupurukaje kwa acacia, kuna hasara aliyoingia? Unajuaje hakufuata ushauri, usisikilize hizi nyumbu humu ukaziamini.Kinachoiponza nchi yenu ni hiyo mikataba ya zamani, lazima kiongozi wenu ajitoe ufahamu na kufukua makaburi, maana watu walishafukia kila kitu na kukaa mkao wa kula tu, JPM alianza vizuri kwa hao akina Acacia lakini hana mshauri au hapendi kushauriwa, akaishia kukurupuka na kufanya maamuzi yasiyo.
Kitu nampendea rais wenu ni kwamba ana nia ya dhati ya kuibadilisha nchi, ana uchungu na nchi yake, amejaa uzalendo, tatizo haonekani kuwa na mikakati au kushauriwa, kila analogusa anaangukia pua.
Duh, sasa kakupurukaje kwa acacia, kuna hasara aliyoingia? Unajuaje hakufuata ushauri, usisikilize hizi nyumbu humu ukaziamini.
Issue ya acacia imefanywa na makachero walopandikizwa kitambo na kwa uweledi sana, acacia wanakuja kushtuka na kuerase records late, kumbe serikali ilishapata evidences za kutosha. Ni ukachero uloanzia enzi za JK ukaja hitimishwa enzi za magu, so usichukulie kirahisi rahisi na kisiasa. Hakuna aliekurupuka, was a strategically conducted investigation ambayo acacia wanajua wapo guilty and there's nuthin they can do
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nyang'au kapotea huko, au hujasikia?Labda nitakua nimechelewa kwa habari za sakata lenu na hao Acacia, ina maana walishawalipa trillion zote mnazowadai au bado ni mchezo wa kombolela...
Hawezi kukujibu maana magufuri ana katiba yake ya mfukonoDemokrasia sio chuki wala matusi, bali nikuheshimu sheria, kwa wananchi na viongozi pia, na kuipa katiba ya nchi hadhi inayofaa. Point yako ntaikubali ukinidhibitishia kwamba demokrasia sio kiungo msingi kwenye katiba ya Tanzania.
Sio malipo yote huwa announced ndugu, cant your brain reason that announcing every payment gova owes ita jeorpadize mambo mengine yanohusiana. I tire arguing with grown up acting stupid. Nitajie sheria inayodemand malipo yote inayolipwa serikali yatajwe hadharani, hakuna kifungu kama hicho nchini Tz, labda kwenyu huko, na hatufanani.Labda nitakua nimechelewa kwa habari za sakata lenu na hao Acacia, ina maana walishawalipa trillion zote mnazowadai au bado ni mchezo wa kombolela...
Sio malipo yote huwa announced ndugu, cant your brain reason that announcing every payment gova owes ita jeorpadize mambo mengine yanohusiana. I tire arguing with grown up acting stupid. Nitajie sheria inayodemand malipo yote inayolipwa serikali yatajwe hadharani, hakuna kifungu kama hicho nchini Tz, labda kwenyu huko, na hatufanani.
Sent using Jamii Forums mobile app