Tanzania yashuka kwenye kiwango cha demokrasia huku Kenya ikiongoza ukanda wote wa Afrika Mashariki

Not this era of pombe magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app

Lakini si huyo huyo Pombe ndiye alikua analalamika kwamba gesi inachumwa na mabepari na kwamba hamna uhuru wa kuitumia, rais hafai kulalamika ila kuchukua hatua, akilalamika sasa Mtanzania wa kitaani mtetezi wake nani.
 
Hiyo ni mikataba ishaingiwa kitambo enzi za jk, na hakuna kitu anaweza badilisha zaidi ya kucomplain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni mikataba ishaingiwa kitambo enzi za jk, na hakuna kitu anaweza badilisha zaidi ya kucomplain

Sent using Jamii Forums mobile app

Kinachoiponza nchi yenu ni hiyo mikataba ya zamani, lazima kiongozi wenu ajitoe ufahamu na kufukua makaburi, maana watu walishafukia kila kitu na kukaa mkao wa kula tu, JPM alianza vizuri kwa hao akina Acacia lakini hana mshauri au hapendi kushauriwa, akaishia kukurupuka na kufanya maamuzi yasiyo.

Kitu nampendea rais wenu ni kwamba ana nia ya dhati ya kuibadilisha nchi, ana uchungu na nchi yake, amejaa uzalendo, tatizo haonekani kuwa na mikakati au kushauriwa, kila analogusa anaangukia pua.
 
Duh, sasa kakupurukaje kwa acacia, kuna hasara aliyoingia? Unajuaje hakufuata ushauri, usisikilize hizi nyumbu humu ukaziamini.
Issue ya acacia imefanywa na makachero walopandikizwa kitambo na kwa uweledi sana, acacia wanakuja kushtuka na kuerase records late, kumbe serikali ilishapata evidences za kutosha. Ni ukachero uloanzia enzi za JK ukaja hitimishwa enzi za magu, so usichukulie kirahisi rahisi na kisiasa. Hakuna aliekurupuka, was a strategically conducted investigation ambayo acacia wanajua wapo guilty and there's nuthin they can do

Labda nitakua nimechelewa kwa habari za sakata lenu na hao Acacia, ina maana walishawalipa trillion zote mnazowadai au bado ni mchezo wa kombolela...
 
Sio malipo yote huwa announced ndugu, cant your brain reason that announcing every payment gova owes ita jeorpadize mambo mengine yanohusiana. I tire arguing with grown up acting stupid. Nitajie sheria inayodemand malipo yote inayolipwa serikali yatajwe hadharani, hakuna kifungu kama hicho nchini Tz, labda kwenyu huko, na hatufanani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Democracy index by country 2018
IMG_20190212_105719_758.jpg
 
Sio malipo yote huwa announced ndugu, cant your brain reason that announcing every payment gova owes ita jeorpadize mambo mengine yanohusiana. I tire arguing with grown up acting stupid. Nitajie sheria inayodemand malipo yote inayolipwa serikali yatajwe hadharani, hakuna kifungu kama hicho nchini Tz, labda kwenyu huko, na hatufanani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hehehe!! Usipate nare bwana, nothing personal....
Kawaida hata huku kuna pesa za mafisadi hurudishwa na serikali inatoa tamko ila bila kutaja shilingi ngapi.
Lakini kwa hilo lenu, nimekua nasoma kwamba mpo kwenye mazungumzo, mara Acacia wanasema watakwenda kwa international arbitration, mara hiki mara kile.
 
FitW7_820px_Country_Trend_Arrows-cropped.png
Watani wetu wa jadi wanaiwakilisha EA vilivyo kwenye nchi kumi duniani zinazopiga hatua kuenda nyuma, kwenye masuala ya demokrasia na uhuru wa wanahabari na wananchi. Hongera zao.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom