Tanzania yangu ijayo, (nchi ipelekwe kijeshi)

Tanzania yangu ijayo, (nchi ipelekwe kijeshi)

Nimrod.tz

Member
Joined
Oct 19, 2014
Posts
15
Reaction score
3
Ninaipenda nchi yangu, awali ya yote ninaiomba amani iwe nasi hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi.

Kwa awamu ya tano.(Chini ya ukawa au CCM). Kwa ubora wa taifa hili, ninapenda nchi hii iongozwe kidemokrasia kupitia mbinu shirikishi na uongozi wa kijeshi.

Yaani wanajeshi wenye elimu wapewe kozi za kuwawezesha kuwa wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, makatibu tarafa na watendaji wa kata(katibu kata) au wakurugenzi.

Hapo itakua vyema zaidi katika kuitumia nguvu kazi yote ya watendaji wa umma.

Nawasilisha.
 
Waliowengi ni wakuu wilaya na wakuu wa mikoa je unaona kuna tofaut na kwingne
 
Waliowengi ni wakuu wilaya na wakuu wa mikoa je unaona kuna tofaut na kwingne

Watumishi wengi ni wazembe, wanatakiwa kupelekwa kinguvu nguvu mkuu..tukiwa na combination nzuri ya hawa watu(jeshi) kutoka chini hadi juu, mambo yatakaa vizuri zaidi
 
Nakuunga mkono mkuu maana watu ni wavivu na siku hizi wanashinda kwenye mitandao na majungu mengi. Na sasa wanajuwa wazi moto wa Magufuli ni hatari sasa wanafanya kila njia ili wampate mzee wa tamaa ya urais Lowasa ili waendelee na hiyo biashara
 
Inategemea na timu kazi atakayoitumia anayopanga kuitumia, pia ni watu gani watakua nyuma yake!!!.maana tanzania ni nchi ya kidemokrasia na ubepali ndio tupo nao.
 
Back
Top Bottom