Mkuu sasa wapi Wizara pekee inayosimama kivyake kama Wizara ya Afrika Mashariki ? Ninachokiona hapo Uhuru Kenyata kabana matumizi kwa hali ya juu, kwa kuunganisha Wizara tatu na kupata Wizara ya Afrika ya Masuala ya Afrika Mashari, Biashara na Utalii.