Magufuli kafanya sawa.Bila shaka ukiangalia Baraza jipya la Mawaziri utagundua kwamba Rais Magufuli hajaipa umuhimu Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwani ameondoa Wizara iliyokuwa maalum kwa Jumuiya hiyo na matokeo yake ameiundia dawati lake ndani ya Wizara ya Mambo ya Nj.
Hii ni ishara kwamba Jumuiya hiyo haina umuhimu kwa Tanzania na kama wanajumuiya wengine walitegemea labda Uongozi wa Magufuli ungekuwa tofauti na Kikwete na wengineo kuhusu hii Jumuiya basi pole yao kwani Rais Magufuli anaonekena hana mpango nayo.
Tayari ameshaahidi kulishuigulikia suala la Kiwanda cha Maziwa cha Kenya na kingine na walimu kutoka Uganda na Kenya wanafundisha hapa Tanzania ambao wanachukuwa kazi za Watanzania nao watashughulikiwa kwani ameshaagiza Uhamiaji wawe makini kwenye kutoa vibali kwa wageni hasa kwa kazi ambazo zinaweza kufanywa na Watanzania!
Bila shaka ukiangalia Baraza jipya la Mawaziri utagundua kwamba Rais Magufuli hajaipa umuhimu Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwani ameondoa Wizara iliyokuwa maalum kwa Jumuiya hiyo na matokeo yake ameiundia dawati lake ndani ya Wizara ya Mambo ya Nj.

Kenya waziri wa utalii ndie ana dhamana ya masuala ya afrika mashariki. mbona hatusikii hoja dhaifu kama iliyotolewa humu jamvini. Rais Magufuli yuko sahihi kupunguza migongano isiyo tija na gharama.
Bila shaka ukiangalia Baraza jipya la Mawaziri utagundua kwamba Rais Magufuli hajaipa umuhimu Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwani ameondoa Wizara iliyokuwa maalum kwa Jumuiya hiyo na matokeo yake ameiundia dawati lake ndani ya Wizara ya Mambo ya Nj.
Hii ni ishara kwamba Jumuiya hiyo haina umuhimu kwa Tanzania na kama wanajumuiya wengine walitegemea labda Uongozi wa Magufuli ungekuwa tofauti na Kikwete na wengineo kuhusu hii Jumuiya basi pole yao kwani Rais Magufuli anaonekena hana mpango nayo.
Tayari ameshaahidi kulishuigulikia suala la Kiwanda cha Maziwa cha Kenya na kingine na walimu kutoka Uganda na Kenya wanafundisha hapa Tanzania ambao wanachukuwa kazi za Watanzania nao watashughulikiwa kwani ameshaagiza Uhamiaji wawe makini kwenye kutoa vibali kwa wageni hasa kwa kazi ambazo zinaweza kufanywa na Watanzania!
Bila shaka ukiangalia Baraza jipya la Mawaziri utagundua kwamba Rais Magufuli hajaipa umuhimu Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwani ameondoa Wizara iliyokuwa maalum kwa Jumuiya hiyo na matokeo yake ameiundia dawati lake ndani ya Wizara ya Mambo ya Nj.
Hii ni ishara kwamba Jumuiya hiyo haina umuhimu kwa Tanzania na kama wanajumuiya wengine walitegemea labda Uongozi wa Magufuli ungekuwa tofauti na Kikwete na wengineo kuhusu hii Jumuiya basi pole yao kwani Rais Magufuli anaonekena hana mpango nayo.
Tayari ameshaahidi kulishuigulikia suala la Kiwanda cha Maziwa cha Kenya na kingine na walimu kutoka Uganda na Kenya wanafundisha hapa Tanzania ambao wanachukuwa kazi za Watanzania nao watashughulikiwa kwani ameshaagiza Uhamiaji wawe makini kwenye kutoa vibali kwa wageni hasa kwa kazi ambazo zinaweza kufanywa na Watanzania!
Sio kweli. Mbona pia Kenya wizara inayosimamia masuala ya EAC haipo kivyake, zimeungwa idara kadhaa