Mtu mmoja ambaye jina lake alijaweza kufahamika mara moja, amenonekana akiwa anafanya vurugu kwenye machafuko yanayo endelea nchini Burundi, huku akiwa amevaa fulana yenye jina la TANZANIA. Mwandishi wa uzi huu, anaalaani vikali kitendo kilicho fanywa na kijana huyo, kwa sababu TANZANIA ni kisiwa cha amani, na jina la TANZANIA halipaswi kuhusika kwa namna yoyote ile na jambo lolote lile ambalo lipo kinyume na amani.
Huyo Mrundi pengine huja kununua mihogo kigoma akaipenda T-shirt.Haina shida hiyo.Na pia usiendelee kujidanganya uko kwenye kisiwa cha amani ukabweteka.Jitathmini na nchi yako kwa kina.
unajua warundi wananunua vitu vingi sana huku TZ mf magodoro, nguo, yeboyebo na pombe za kienyeji. nenda pale Manyovu mpaka wa Burundi na TZ utasadiki haya niyasemayo