Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 Jul 16, 2016 #1 Tanzania ya viwanda vs kilimo kwanza ipi ni sera ambayo ingetutoa kwenye uma sikini haraka
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,657 Reaction score 8,589 Jul 16, 2016 #2 KILIMO KWANZA NDO ILITAKIWA IWE SERA KUU YA JPM
E Essau mella Member Joined Jul 3, 2016 Posts 5 Reaction score 0 Jul 16, 2016 #3 Kabisa maana anataka kumwinua aliye na maisha ya chini kabsa
J JAH CITY Member Joined May 24, 2016 Posts 40 Reaction score 71 Jul 16, 2016 #4 Kilimo kwanza. 1. Hakuna ukuwaji wa msingi wa viwanda bila ya kuwa na kilimo cha uhakika. 2. 75% ya watanzania ni wakulima. Ni unafiki wa hali ya juu kufikiri viwanda wawati walio wengi ni wakulima na wanategemea kilimo kwa maisha yao.
Kilimo kwanza. 1. Hakuna ukuwaji wa msingi wa viwanda bila ya kuwa na kilimo cha uhakika. 2. 75% ya watanzania ni wakulima. Ni unafiki wa hali ya juu kufikiri viwanda wawati walio wengi ni wakulima na wanategemea kilimo kwa maisha yao.